Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Ooh Casanoovaaaa.....
Me and Romeo and Sarah and James......
Aahahahahahaa yaani hii wiki looh...!!
Ningekuwa nimeipuliza ningesema inanipelekesha kichwani Ila waaalaaahh...
Ni vile nimemengโenywa kama mpiga gitaa anavyolihimili gitaa lake kiunoni au tumboni au magotini (akiwa amekaa) na kutoa miito inayofanya macho yarembuke, midomo na mashavu yatabasamu na kulegea kama mlenda.
Keeuuwiiiiiii mahaba hayaaa, hadi nahisi sukari imepitiliza mwilini kwa utamu ninaoupata.....
Si mara zote utanikuta jikoni nakorofisha, ila nikiguswa penyewe.....
Ni shaaaaah, utamu kunoga sukari, kitu na meza, chumvi kwa mbalii, ndimu kwa mbalii ๐.
Najua wajuzi wa mapishi wako wengi, ila vile nikipika huku nimegibikwa na mahaba.....
Matokeo ya mapishi nayasikilizia uwanjani ๐๐๐
Biso na biso diko la diko ๐๐๐๐
Walau mshibe kwa picha ๐.
Ila nimengโatwaje vidolee, pamoja na kuweka umma na kisu Ila mtu kataka kulishwa na mkono.....
Watu wanajua kudeekaaaa....!
Mahaba Matata ๐.