When Kasie is Deeply and Madly in Love 🥰

When Kasie is Deeply and Madly in Love 🥰

I can't stop loving you
Kila nikiona siredi zako mate yanijaa😂😂.uwe na usiku mnono kasie

Woow...!! Feel blessed 😇😇😇😇

Let love lead

Spread love and maintain the peace and harmony.
 
Mie tenaaa....

Kila leo nna pishi jipya la mchele....[emoji39][emoji39][emoji39]

Michele yote inapepetwa kuanzia mdundiko, kitumbo, wa Mbeya, basmati hadi VIP.....

Zege halilali....[emoji12]
Wacha wee bibi wa mahaba.
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
 
Kesie matata..hiyo ni mboga gani?... Maana naona viongo vya mboga TU...au Ni mboga ya bilinganya...au Ni kachumbari...

Au ndo inatwa stirfrie
 
Nenda kasahihishe mitahani huko...I and me ....
Nani amekuambia anasahihisha mkuu? Unaniataki kwa chuki utadhani nilikuuliza wewe? Mimi nataka kujifunza na ndo maana nikauliza swali, wewe unaleta stress zako kwangu,jifunze kuwa positive kwa michango ya wenzako,mitandaoni sio mahali pa kuletea stress za ugumu wako wa maisha mkuu,Bali ni sehemu ya kupunguza mawazo

Badili mtazamo wako mpendwa.
 
.
Kaanzishe darasa huko za kurekebisha grammer...

Ugumu wangu hiyo vipi?....

Kwendraaaaaaaa zako huko
 
Kesie matata..hiyo ni mboga gani?... Maana naona viongo vya mboga TU...au Ni mboga ya bilinganya...au Ni kachumbari...

Au ndo inatwa stirfrie

Rosti la mboga mboga Matata.......

In swags language, I would spell...

Matata Fried Veggies 🌶 🍅 😋
 
Ooh Casanoovaaaa.....

Me and Romeo and Sarah and James......

Aahahahahahaa yaani hii wiki looh...!!

Ningekuwa nimeipuliza ningesema inanipelekesha kichwani Ila waaalaaahh...

Ni vile nimemeng’enywa kama mpiga gitaa anavyolihimili gitaa lake kiunoni au tumboni au magotini (akiwa amekaa) na kutoa miito inayofanya macho yarembuke, midomo na mashavu yatabasamu na kulegea kama mlenda.

Keeuuwiiiiiii mahaba hayaaa, hadi nahisi sukari imepitiliza mwilini kwa utamu ninaoupata.....

Si mara zote utanikuta jikoni nakorofisha, ila nikiguswa penyewe.....

Ni shaaaaah, utamu kunoga sukari, kitu na meza, chumvi kwa mbalii, ndimu kwa mbalii 😜.

Najua wajuzi wa mapishi wako wengi, ila vile nikipika huku nimegibikwa na mahaba.....

Matokeo ya mapishi nayasikilizia uwanjani 😋😋😋

View attachment 1708725

Biso na biso diko la diko 😋😋😋😋

View attachment 1708724

Walau mshibe kwa picha 😋.

Ila nimeng’atwaje vidolee, pamoja na kuweka umma na kisu Ila mtu kataka kulishwa na mkono.....

Watu wanajua kudeekaaaa....!

Mahaba Matata 😉.
Hahaha
 
Back
Top Bottom