When Kenya runs away from UN resolution, it’s time to assess the quality of our leadership

Has that stopped KENYA from being a leader of East and Central Africa economically? Sio kila Saa kurushia Kenya vijisababu...what have you gained from SADC ama mnatumika kama kifagio na South Africa?
Imetusaidia sana kutokumbwa na njaa ya mara kwa mara, pia tunafanya biashara na nchi za SADC na vijana wetu wqnapata ajira kwa wingi na kwa urahisi zaidi, hiyo ni sababu mojawapo inayofanya unemployment rate huku ipo chini ikilinganishwa na Kenya.
 
Amin alikuwa anaogopeka sana Africa nzima kwa vitisho na utawala wake katili, haikuwa rais kwa nchi ambazo viongozi wake hawana msimamo kama Kenya kuweza kupambana na Amin, leo hii wakenya mnasema waganda ni ndugu zenu, mbona wakati wanachonjwa na Idd Amin hamkuwasaidia?, hakuna hata kundi moja au chama kilichokua kinampinga Amin kilichokuja kuishi Nairobi ili kuanzisha mapambano ya kumtoa Amin, wote walikimbilia Tanzania, tukawahifadhi, tukwapa mafunzo ya kijeshi na silaha, Kenya inasuburi kukishakuwa na usalama na amani ndiyo inaenda kufanya biashara, very selfish and opportunistic country, no one trusts you.
 
mkuu mi ndo nataka niwashangae hawa wakenya wanaotaka kujiona wao matajiri hali ni masikini wa kutupwa. africa hapa kutoa South Africa labda na Egypt kidogo wengine masikini tu .sema tunazidiana viwango vya umasikini.
Nilidhani utatueleza Tz ilivo nchi tajiri sana kuliko Kenya na Kenya ilivo nchi masikini zaidi ya hata Somalia. Watz saa zingine huwa mnatupa akili zenu kulee. Afu kinachofata huwa ni full pumba.
 
A simple question to you, when did vote any thing in UN against USA? Or when did Kenya object to any of American interest apart from telling Obama you reject homosexuality. This was chance to show the world that Kenya standing for the good of this world. But instead Kenya chose AGOA deal, KQ route to America, military assistance, American tourists.

Haha, which history books are those which shows Kenya played a role in Tanzania Ugandan war? At that time Tanzania was more than ready to go war with Kenya. Mind you Tanzania Kenya border was closed

Kenya-Tanzania Border Tension Rises
 
Hapana shindana na Ndovu kunya utapasuka msamba babaa. Kenya na GDP ya $75 b against $16 trillion Lazima tuwe wajanja na kama ujuavyo wajinga ndio waliwao.
 
Imetusaidia sana kutokumbwa na njaa ya mara kwa mara, pia tunafanya biashara na nchi za SADC na vijana wetu wqnapata ajira kwa wingi na kwa urahisi zaidi, hiyo ni sababu mojawapo inayofanya unemployment rate huku ipo chini ikilinganishwa na Kenya.
Yani mnawategemea zaidi kama vile kupe na ng'ombe.
 
Wote ni masikini, tena ni masikini wa kutupwa.
Acheni kujidanganya eti Kenya ni Tajiri. On what standards? Msitake kuhamisha topic, hehe
Mtu ajisemee pande yake... sema Tanzania ni masikini hohe hahe Tena wa kutupwa sio kujishikilia na Nchi zingine so as not to feel lonely au kujifariji.
 
Hapana shindana na Ndovu kunya utapasuka msamba babaa. Kenya na GDP ya $75 b against $16 trillion Lazima tuwe wajanja na kama ujuavyo wajinga ndio waliwao.
Hapo ndio mnakosea mnafikiri pesa ni kila kitu, North Korea na "pesa-mbili" walio nayo wanaishi na kutetemesha dunia.
 
Hapa unafurahi kwa sababu UN is against Turkey, juzi UN imekua against USA unaanza kuja na sababu kibao za kuipinga UN ili tu kuipa support USA hata kama dunia nzima is against USA
turkey is not arabic country, turks are very proud people hata edorgan haongeagi kizungu
 
Ni kama kwenye nyumba yako utenge chumba cha wageni sasa mgeni akija atasema yupo kwake?? Mmewekwa huku ili msituletee tabia zenu za ajabu na viswahili vyenu fekifeki kwenye majukwaa mengine
Hiyo ni Embassy yetu so hapana let's nyoko nyoko hapa tutawafunza adabu vilivyo Wana LDC. Kwani nini kubwa unaweza Fanya ispokuwa kutokwa povu na matusi? You are nothing to me wewe ni kama kinyesi barabara ni tuuu.
 
Hapo ndio mnakosea mnafikiri pesa ni kila kitu, North Korea na "pesa-mbili" walio nayo wanaishi na kutetemesha dunia.
Kila mtu na style yake si ati jirani akirusha jiwe na wewe ufanye hivo.
 
Hiyo ni Embassy yetu so hapana let's nyoko nyoko hapa tutawafunza adabu vilivyo Wana LDC. Kwani nini kubwa unaweza Fanya ispokuwa kutokwa povu na matusi? You are nothing to me wewe ni kama kinyesi barabara ni tuuu.
Sawa mamaa najua unanikubali ndo maana umekuja kujiegesha magetoni kwangu ropoka utakavyo maana naona umepagawa na shoo za upande huu subiria na mwakani tunawaongezea na gheto la wajaluo na wakikuyu tukiingia tu tunajua nani wakumchapa vizuri
 
Hill tu? Nilijua hauna jipya au kubwa unaloweza fanya. Keep to your LDC lane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…