When Kenya runs away from UN resolution, it’s time to assess the quality of our leadership

Yah,pills for you,mpone ugonjwa wa ukabila
Endelea kumeza bitter pills kwa niaba yetu.
Hao CRIMINALS,waliwahonga,kuwaua na kuwatisha mashaidi wasiende kutoa ushahidi ICC ndo unaongelea hapa?mmejaza criminals state house alafu mnapiga kelele humu,shame on you.
Hio evidence peleka ICC wahukumiwe sio hapa JF.
 
Endelea kumeza bitter pills kwa niaba yetu.

Hio evidence peleka ICC wahukumiwe sio hapa JF.
Niende kufanya nn ICC?our President is known as "Mr Clean" wewe ndio umesema kwamba waliachiwa,haha,poor you,ile ni kesi ya jinai,kesi ya jinai haifi.Wakimaliza tu,ICC.
 
Upuzi peleka vijiweni.
 
Wakiambiwa wanategemea misaada kutoka USA mapovu yanawatoka. Ninyi mmeona hayo tu, sikilizeni voa swahili wanavyosifu uamuzi wa kenya. Rwanda ni nchi ndogo, lakini waliacha unafiki wao wakaiambia Ufaransa kuwa ilihusika kwenye mauaji ya kimbili, na wakatishia kumtimua barozi wa Ufaransa. Hata South Africa walipojaribu kuwahifadhi wa Kagame kila mtu anajua kilichotokea. Msimamo thabiti ndio silaha ya kiume, sasa hawa Kenyans tuwaiteje
 
Sio kila Mkenya anasupport hii upuuzi. Don't generalize. Waafrika tusisahau tulikotoka. Wazungu walituny'ang'anya shamba
yetu huku wengine wetu tuko mbioni kusuport nchi inayotesa na kunyakua shamba ya wengine. Dunia gani hii tunayoishi?

sijawahi ona mKenya kama huyu anaye value humanity and equity. your fellow Kenyans will stone you coz you support something that is not your culture.

good brother, let's go on embracing love and togetherness.
 
Wakenya ndio walivyo. Hawaaminiki kwenye masuala kama hayo
 
Wakiambiwa wanategemea misaada kutoka USA mapovu yanawatoka. Ninyi mmeona hayo tu, sikilizeni voa swahili wanavyosifu uamuzi wa kenya. Rwanda ni nchi ndogo, lakini waliacha unafiki wao wakaiambia Ufaransa kuwa ilihusika kwenye mauaji ya kimbili, na wakatishia kumtimua barozi wa Ufaransa. Hata South Africa walipojaribu kuwahifadhi wa Kagame kila mtu anajua kilichotokea. Msimamo thabiti ndio silaha ya kiume, sasa hawa Kenyans tuwaiteje

siku zote unafiki haujawahi muacha mtu salama. ipo siku ukweli utajitenga.
 
Wakiambiwa wanategemea misaada kutoka USA mapovu yanawatoka. Ninyi mmeona hayo tu, sikilizeni voa swahili wanavyosifu uamuzi wa kenya. Rwanda ni nchi ndogo, lakini waliacha unafiki wao wakaiambia Ufaransa kuwa ilihusika kwenye mauaji ya kimbili, na wakatishia kumtimua barozi wa Ufaransa. Hata South Africa walipojaribu kuwahifadhi wa Kagame kila mtu anajua kilichotokea. Msimamo thabiti ndio silaha ya kiume, sasa hawa Kenyans tuwaiteje
hapa naona aibu kama mkenya maana tulitakiwa kuwa watu wenye msimamo,lakini tumekuwa tukiwasaliti wanyonge ndani ya nchi sembuse wa nje 🙁
 
Kenya Mupo Sawa. Huo Mkutano ni wa Kiislam so kuvote against Israel ni kosa. kukaa Pembeni ni kuonesha kuwa hizo Kura hazina uhalali wowote... zaidi wa Wapumbavu Uturuki na Misri kuandaa huo ujinga.. Jerusalem ni Mji Mkuu wa Israel kila mtu anafahamu Kura za kujaribu kupindisha ukweli uwe uongo ni bora kutopiga kura. Hongera Uhuru Raisi wa Kweli Africa
 
Back
Top Bottom