joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Utasubiri sana, huku nyumba kama hizo za Kibera tunaona kwenye youtube pekee, na bado hatuamini kama kweli kuna binadamu hapa duniani anaweza kuishi maisha hayoUmesahau Tz inaorodheshwa ya 8 kati ya nchi zisizo na vyoo duniani mzima...yani 80%ya Tz wanajisaidia pale ubungo na kwa beach.