Huu ushabiki sijui kweli tunashirikisha akili zetu. Kwahiyo Hao Wapalestina kwa vile ni Waislamu hawastahili kuishi hapo?Kenya Mupo Sawa. Huo Mkutano ni wa Kiislam so kuvote against Israel ni kosa. kukaa Pembeni ni kuonesha kuwa hizo Kura hazina uhalali wowote... zaidi wa Wapumbavu Uturuki na Misri kuandaa huo ujinga.. Jerusalem ni Mji Mkuu wa Israel kila mtu anafahamu Kura za kujaribu kupindisha ukweli uwe uongo ni bora kutopiga kura. Hongera Uhuru Raisi wa Kweli Africa
Usiruhusu hisia kutawala akili yako, kwahiyo tangu hiyo Israeli iwepo kwanini haikuufanya mji wa Jerusalem kuwa Capital yake? Huoni hata wao waliona kuna tatizo furani ndo wakaupeleka Tel Aviv? Baada ya kuona Wapalestina wametengwa na wenye nguvu ndo wanaanza kufanya wayatakayo bila kujali haki za watu wengine.