When Kenya runs away from UN resolution, it’s time to assess the quality of our leadership

When Kenya runs away from UN resolution, it’s time to assess the quality of our leadership

Hapo ndio mnakosea mnafikiri pesa ni kila kitu, North Korea na "pesa-mbili" walio nayo wanaishi na kutetemesha dunia.
Wana pesa gani hao wakati millions wanaishi kwenye slums na wengine wanakufa njaa kila siku?, rais wao anazunguka dunia nzima kuomba mikopo ya kujenga reli ambayo Tanzania inaijenga kwa kutumia pocket money.
 
Kama ambavyo Kenya inaitegemea Tanzania kupata chakula
Hapana sisi tunalipa cash so that is a mutual relationship between us. Hiyo yenyu na SA ni parasitic sababu munafurika huko na vijibakuli omba omba.
 
Hapana sisi tunalipa cash so that is a mutual relationship between us. Hiyo yenyu na SA ni parasitic sababu munafurika huko na vijibakuli omba omba.
Kwanini mlishindwa kulipa pesa ya 2014, na kwanini bado mnaendelea kututia aibu tunaonekana tumepakana na jirani mwenye njaa wakati Bongo tuna ziada ya chakula?
 
Wana pesa gani hao wakati millions wanaishi kwenye slums na wengine wanakufa njaa kila siku?, rais wao anazunguka dunia nzima kuomba mikopo ya kujenga reli ambayo Tanzania inaijenga kwa kutumia pocket money.
Wenzetu pesa kwanza utu baade. Man eat man.
 
Hiyo ni Embassy yetu so hapana let's nyoko nyoko hapa tutawafunza adabu vilivyo Wana LDC. Kwani nini kubwa unaweza Fanya ispokuwa kutokwa povu na matusi? You are nothing to me wewe ni kama kinyesi barabara ni tuuu.
[emoji23] povu
 
Hypoctric Country...
Kenya mmeonyesha jinsi mnavyoweza kuuza utu wenu kwa mali.....better you could vote against the resolution kuliko kuabstain kabisa...poor kenyans
Ni kweli kabisa, wangeamua kupiga kura ya NDIYO au HAPANA. Ila kukimbia kunaonyesha unafiki wa kidiplomasia
 
Ni kweli kabisa, wangeamua kupiga kura ya NDIYO au HAPANA. Ila kukimbia kunaonyesha unafiki wa kidiplomasia
Inajulikana kama Free will. Haulazimishwi kwa mjeledi kupiga kura unaweza susia.
 
Yapi hayo na aliachiliwa na mahakama Ya ICC iliyomfunga kina Taylor na milosevic.
Hao CRIMINALS,waliwahonga,kuwaua na kuwatisha mashaidi wasiende kutoa ushahidi ICC ndo unaongelea hapa?mmejaza criminals state house alafu mnapiga kelele humu,shame on you.
 
Back
Top Bottom