Bitter pill
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 917
- 781
Reward for footlockers
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juzi mlikua mnapigia magoti mfalme wa morocco ambaye bado anakoloni the only country in Africa that is yet to gain independence- saharawiReward for footlockers![]()
Akili za kuku hiziJuzi mlikua mnapigia magoti mfalme wa morocco ambaye bado anakoloni the only country in Africa that is yet to gain independence- saharawi
View attachment 658892 View attachment 658893
Africa nzima iliamua haitaki mahusiano na morrocco kwasababu ya dhulma wanazofanyia saharawi na nyinyi mlikua mnamkaribisha kwa mbwembwe na shangwe kana kwamba ni mungu, kila mtz aliemsalimia alikua anainamisha kichwa hata mavifuli alifanya hivyoTanzania imetembelewa na viongozi wengi mwaka Jana na mwaka humu.we umemuona Huyo tu?
Nyie endeleeni kujihusisha na yasiyowahusu, wakati mtajipata kwa shida mtajaua kila mtu huwa peke yake. Mtajua hamjui.nyie endeleeni kunyang'auliana humo humo ndani ya mipaka yenu.
True that. Wakati KDF wanashambuliwa na Al-shabeb watu wa kwanza kuandaa sherehe ni our southern neighbors.Same thing that is happening in middle east is happening right here in africa, lakini waafrica as usual watafywata ya watu weupe nje ua africa na waache ya waafrica wenyewe... View attachment 658901 View attachment 658902
The same thing happened when over 2000 civiliance were killed by bokoharam in a week and most African countries didn't even acknowledge it, but when 17 civilians were killed in france, every african country was sending condolences
Hahahaha ata Magu ana- bow down.Juzi mlikua mnapigia magoti mfalme wa morocco ambaye bado anakoloni the only country in Africa that is yet to gain independence- saharawi
View attachment 658892 View attachment 658893
Tatizo la wakenya wengi hamuelewi mambo ya dunia, mmebaki kupiga domo bila kujua dunia inavyokwenda, elimu yenu inafundisha English na ukabila pekee, subiri nikujuze kuhusu Morroco na Sahara magharibi.Africa nzima iliamua haitaki mahusiano na morrocco kwasababu ya dhulma wanazofanyia saharawi na nyinyi mlikua mnamkaribisha kwa mbwembwe na shangwe kana kwamba ni mungu, kila mtz aliemsalimia alikua anainamisha kichwa hata mavifuli alifanya hivyo
View attachment 658897 View attachment 658898 View attachment 658899
Sawa mjuaji mkuu JF.Tatizo la wakenya wengi hamuelewi mambo ya dunia, mmebaki kupiga domo bila kujua dunia inavyokwenda, elimu yenu inafundisha English na ukabila pekee, subiri nikujuze kuhusu Morroco na Sahara magharibi.
Morroco ilikuwa mwanachama wa OAU chini ya uongozi wa baba yake huyu mfalme wa sasa hivi, baadae West Sahara ikaomba uanachama wa OAU kama inavyoomba Palestina kuwa mwanachama kamili wa UN, Morroco ilipinga west sahara kupewa uanachama kamili na kutambuliwa na OAU, lakini nchi za Africa zikaikubali West Sahara kuwa mwanachama kamili, Morroco ikachukizwa na uamuzi huo, na ikaamua kujitoa OAU yenyewe bila kufukuzwa wala kuwekewa vikwazo na nchi za Afrika, ikajiunga na umoja wa nchi za kiarabu, lakini iliendelea kuwa na ofisi za ubalozi katika nchi nyingi za Africa na haikutengwa wala kususiwa. Mfalme huyu wa sasa hivi ameamua kutengua uamuzi wa baba yake na kuomba kurudia uanachama wake wa zamani wa OAU, kwa maana hiyo Morroco imekubali kushiriki vikao ambavyo west Sahara inashiriki kama nchi kamili, huenda ukawa mwanzo wa Morroco kuitambua west Sahara kama nchi kamili.
By the way, are you the one who presented those thoughts? Mbona unajiswichiswichi? In academics, facts are supported by reputale and valid source, otherwise.....Perhaps you should come up with your facts to dispute these, otherwise you spewing bile over nothing.
BR what? Ndo tujifunze kunya kwenye station? Watanzania washamba kweli. Kama mlimaliza njaa mbona mnawatafuna albino?Mnajifunza namna kumaliza njaa n jinsi ya kuanzisha na kuendesha project ya BRT
This was not meant for comparative achievements of EAC countries, like the debate goes. We know how a houseboy can achieve from his master compared to hardworking family masters but, that does not make his job look wonderful to most societies. We know where we are, we know how we relate. The problem was not Israel versus Palestine, it was all about US, specifically Trump threatening language, add to it, the threat from one country to other countries.Kenya did not abstain, the kenya office at the UN was closed for holiday hence we did not participate in the vote at all, but if we had we would have probably abstained, this is because the resolution was useless and it was stupid for any country to think that voting for or against actually had any power, If the US woke up tomorrow and decided that palestine doesn't exists anymore, trust me, no one in the UN would do shit! I mean just look at this situation, the whole UN had to call for a special meeting just to vote on one single issue where the sovereign state of US decided that it would move its embassy, how weak is the rest of the world that we have to all gather to pass a useless resolution that doesn't carry any weight just for one country
Albino wanauwawa kwa sababu ushirikina,sio kwa sababu ya njaaBR what? Ndo tujifunze kunya kwenye station? Watanzania washamba kweli. Kama mlimaliza njaa mbona mnawatafuna albino?
Mkuu issue za Israel na Palestina tumeijadili miaka na miaka nadhani wewe ndio unazianza leo. Katiba ya Israel ipo wazi kuwa Jerusalem ndio Makao makuu ya Israel. Palestina sio Nchi ni just flit animal from neighbour country kulowea hapo na hadi England anaondoka hapo Jerusalem ilikuwa ni part ya Jordan so hiyo Palestina iliyoundwa na Arafat sijui miaka ya 60s maana haikuwepo before Tena Palestine ilikuwa ni Chama same la Hamas ni Arabs tu waliosalia. na si kwamba ni Waislam tu hadi Wakristo wapo tele... Ni Sawa tu na Kule Myanmar kuna Muslim waliolowea kutoka Bangladesh wanadai hadi maeneo ati yao... kwenye Nchi ya Mabudha asiliaHuu ushabiki sijui kweli tunashirikisha akili zetu. Kwahiyo Hao Wapalestina kwa vile ni Waislamu hawastahili kuishi hapo?
Usiruhusu hisia kutawala akili yako, kwahiyo tangu hiyo Israeli iwepo kwanini haikuufanya mji wa Jerusalem kuwa Capital yake? Huoni hata wao waliona kuna tatizo furani ndo wakaupeleka Tel Aviv? Baada ya kuona Wapalestina wametengwa na wenye nguvu ndo wanaanza kufanya wayatakayo bila kujali haki za watu wengine.
Produce them.By the way, are you the one who presented those thoughts? Mbona unajiswichiswichi? In academics, facts are supported by reputale and valid source, otherwise.....
Kenya has already made Her choice and we cannot go back. Rebuking Her will change nothing bro, either you with us or against us.This was not meant for comparative achievements of EAC countries, like the debate goes. We know how a houseboy can achieve from his master compared to hardworking family masters but, that does not make his job look wonderful to most societies. We know where we are, we know how we relate. The problem was not Israel versus Palestine, it was all about US, specifically Trump threatening language, add to it, the threat from one country to other countries.
Palestinians are the sufferers who mostly need our moral support. Where are we Kenyans? Morally dead! Do we remember how we were supported after our own making tribal conflict-killing-IDP thing? You cannot claim your offseason just because of the nonbinding resolution while you have been through such resolutions ever since. So, Kenya decided to go diplomatic to a person rebuking us like any other toddler. If it is truly coming to be a party of those who supported the US over the resolution, say Kenya attends, that will be another proof of judgement failure. The meaning will be; the threatened are happy to be invited and rewarded for that cowardly response.
Let us not pretend. We are still underdeveloped we need a lot of protection from neighbours, friends and other well-wishers. US will never need us unless it is for their benefits.
Kaka unahitaji kurudi nyuma ili uweze kujielimisha kuhusu hilo eneo la Palestina na Israel, inaonekana hujafuatilia na wala huelewi vizuri kabisa, historia ni ndefu sana, lakini mimi nitaanzia miaka kadhaa kabla ya vitakuu ya kwanza ya dunia.Mkuu issue za Israel na Palestina tumeijadili miaka na miaka nadhani wewe ndio unazianza leo. Katiba ya Israel ipo wazi kuwa Jerusalem ndio Makao makuu ya Israel. Palestina sio Nchi ni just flit animal from neighbour country kulowea hapo na hadi England anaondoka hapo Jerusalem ilikuwa ni part ya Jordan so hiyo Palestina iliyoundwa na Arafat sijui miaka ya 60s maana haikuwepo before Tena Palestine ilikuwa ni Chama same la Hamas ni Arabs tu waliosalia. na si kwamba ni Waislam tu hadi Wakristo wapo tele... Ni Sawa tu na Kule Myanmar kuna Muslim waliolowea kutoka Bangladesh wanadai hadi maeneo ati yao... kwenye Nchi ya Mabudha asilia
This was not meant for comparative achievements of EAC countries, like the debate goes. We know how a houseboy can achieve from his master compared to hardworking family masters but, that does not make his job look wonderful to most societies. We know where we are, we know how we relate. The problem was not Israel versus Palestine, it was all about US, specifically Trump threatening language, add to it, the threat from one country to other countries.
Palestinians are the sufferers who mostly need our moral support. Where are we Kenyans? Morally dead! Do we remember how we were supported after our own making tribal conflict-killing-IDP thing? You cannot claim your offseason just because of the nonbinding resolution while you have been through such resolutions ever since. So, Kenya decided to go diplomatic to a person rebuking us like any other toddler. If it is truly coming to be a party of those who supported the US over the resolution, say Kenya attends, that will be another proof of judgement failure. The meaning will be; the threatened are happy to be invited and rewarded for that cowardly response.
Let us not pretend. We are still underdeveloped we need a lot of protection from neighbours, friends and other well-wishers. US will never need us unless it is for their benefits.