Kipindi cha JK wabongo tulikuwa tunaenda kasi sana na Wakenya walikuwa na woga wa Hatari kuwa tutawapiku, kwa sasa Kenya anazidi kutuacha mbali, sisi tuko busy na vyerahani vinne na Mashine za kukamulia miwa
Construction boom ndio kama imekufa vile
hahahahahaha proud about a wall? Trump addictionsasa we unashobokea viwanda vya wachina ndo maana mnaolewaga!!bora sisi tuliojenga ukuta kwa nguvu zetu wenyewe!!eti wanajenga jengo ndefu barabarani...
Uganda Pipeline deal tumenyakua kipindi hiki cha JPM,Kuna kaukweli hapa maana kipindi hicho mlikuja kwa speed Fulani, takwimu za JK zilikua balaa, alikua ameipigia debe Tanzania hadi kwenye level mpya.
Maana yeye kafikisha ukuaji kwenye 7.3% na pia HDI yenu ilipaa.
Lakini siku hizi mnaendesha nchi kwa visasi na mikwara ya makelele.
Na kuongezea before 2015 uchaguzi Wa Tanzania huyo jamaa anayejiuta MK 254 aliwahi kuandika kuwa Tanzania ,wana watu makini kama Rais Magufuli (Kipindi akiwa Waziri) na akasema watanzania wakimchagua Jamaa ataipaisha Tanzania kiuchumiUkiona adui yako anakusema sana kwamba huna lolote na hakuogopi ujue umemkamata pabaya, ukiachana na Julius Nyerere, hakuna rais wa Tanzania anayeogopewa na Kenya zaidi ya uncle Magu, haijawahi kutokea kipindi ambacho wasomi na wataalamu wa uchumi Kenya wamejitokeza na kusema hadharani kwamba Tanzania is a big threat kwa uchumi wa Kenya kama kipindi hiki. Magufuli usilegeze kamba, hao wanaodai Kikwete alikua bora ni wivu juu ya mambo anayofanya Magufuli. Ninakumbuka wakati alipochaguliwa walisema ni nguvu ya soda atachoka, sasa hivi wanadai si lolote kwa Kikwete, indicators zote zinaonyesha yupo juu ya Kikwete ukiacha demokrasia pekee.
Huyo jamaa ana wivu sana na machungu kuona Tanzania inapiga hatua, kwa ufupi ana roho mbaya ya kinyang'au. Ninakumbuka wimbo wa Nyota ndogo "kuna watu na viatu", alidhani Magufuli hatokua rais, wakenya wamepanic sana na walio wengi na wenye akili wanamkubali sana Maguguli, na baadhi ya viongozi wa serikali ya Kenya wameanza kuiga utendaji wake wa kazi, kwa mfano tume ya utumishi na mishahara Kenya walipitia upya viwango vya mishahara na kupunguza/kuondoa allowances nyingi, kupiga marufuku wizara na mashirika ya umma kuweka pesa katika benki za biashara, kutumia slogan ya Hapa kazi tu, na wengi wangependa Magufuli awe rais wa Kenya akapambane na rushwa.Na kuongezea before 2015 uchaguzi Wa Tanzania huyo jamaa anayejiuta MK 254 aliwahi kuandika kuwa Tanzania ,wana watu makini kama Rais Magufuli (Kipindi akiwa Waziri) na akasema watanzania wakimchagua Jamaa ataipaisha Tanzania kiuchumi
Etii Leo , anamponda
Ha ha ha
Uganda Pipeline deal tumenyakua kipindi hiki cha JPM,
Fuata historia, safari za Kikwete na kukutana na Museveni kule New York ndio zilitumika kumbadilisha Museveni mawazo na kuwaza safu ya Tanzania TANZANIA : Museveni and Kikwete discuss the pipeline in New York
Mtaukataa huo ukweli lakini rais wenu huyo wa awamu ya nne pamoja na mapungufu yake ya kutopigana na ufisadi ipasavyo, lakini aliiweka Tanzania kwenye ramani ipasavyo. Yeye kidogo alikua ameanza kuileta Tanzania kwenye level yetu, na kikubwa uhusiano baina yetu haukua wa ugomvi ugomvi kama mnavyojitutumua siku hizi.
Leo hii hamna jipya zaidi ya visasi na mikwara na uchokozi usiokua na tija, mnaibua ugomvi kila uchao na makelele mengi ila mwisho wa siku ukuaji wa uchumi haujafikia level aliyokua amewafikisha Kikwete ya 7.3%.
Alichukua uongozi GDP yenu ikiwa 16b USD akatoka ikiwa 48.2b USD.
Vitu vingi mnazindua leo, alivianzisha Kikwete, masterplan zote zake, hata reli mnazotutambia kila siku kazifanyia planning zote, kama unajua kudadavua uchumi kitaalam nenda kasome mlivyokua kwenye MDG kabla yake na wakati anaachia uongozi, pia kabla yake tegemezi lenu la ufadhili kwenye bajeti ilikua 42%, aliondoka kama imepungua hadi 8%
Ugomvi wa Kenya na serikali ya Kikwete ulikua ukiibuka mara kwa mara, lakini ulikua unazimwa in a very diplomatic and statesmanship way, sio kuropokeana.
Hamna hoja ya msingi unayoongea hapa zaidi ya kuingia kwenye mkumbo wa Chadema. Jakaya naye alikuta miradi mingi aliyoachiwa na Ben kama ilivyo SGR yenu ilikuwa ni mradi wa Mwai.
JPM ataendelea kuwashambulia bila ya huruma, nyie lieni tu.
Maneno ya wivu hayo.Huwa naionea nchi ya Tanzania huruma wakati mwingine...a very beautiful country but with idiot citizens..vichekesho wa ulimwengu...mnaiangusha sana nchi yenu maridadi
Nimeweka takwimu, bishana nazo...
This bitterness of yours is superb hehehe meza wembe ndio hivyo ukuta tumejinga mijizi ya kikenya hakuna kuingia JPM amewaka system ni national ID ndio itafanya uingie ndaniAnd you think that was a compliment from the writer!? That was classic mockery clad in irony and here you are,a half-baked bongolala highlighting it as if it's the greatest invention of 21st Century!
And this proves you know nothing about what you are talking about, asking cases of swallowing gemstones in mines is like cases of eating foods in hotels,They quoted the president saying, that if somebody swallowed the mineral, it would be detected at the proposed checkpoint. My brothers, who the hell swallows tanzanite? πππ
Umeweka takwimu za uongo! eti Kikwete ameondoka Tz ikiwa ina depend only 8% as aid kwenye budget yake!! Wakenya ndiyo zenu kupika data ili ziwafurahishe kwa hiyo sishangai..Nimeweka takwimu, bishana nazo...
Look at yourself. Nyang'au wanamezanga tu gold ama diamond kumeza tanzanite ni kama kumeza tu zege. Ikikuuma sana nunua eno!And this proves you know nothing about what you are talking about, asking cases of swallowing gemstones in mines is like cases of eating foods in hotels,
Unajiaibisha hata how shallow your brain is
Umejisahaulisha "Coalition of the will"!? Iliibuka wakati gani kama sio wakati huo wa JK,Kipindi cha JK wabongo tulikuwa tunaenda kasi sana na Wakenya walikuwa na woga wa Hatari kuwa tutawapiku, kwa sasa Kenya anazidi kutuacha mbali, sisi tuko busy na vyerahani vinne na Mashine za kukamulia miwa
Construction boom ndio kama imekufa vile
Unamaanisha trump kujenga ukuta kutenganisha mpaka na mexico?watu wanashinda Rotterdam, Paris marathons...Hong Kong 7s rugby huku limbukeni wengine wako busy wanajigamba kwa kujenga ukutaendeleeni kukimbiza mkia vilaza wa dunia...