When Kenyan media feels jealous after A380-800 landed in Dar instead of Nrb on a maiden trip to EA

When Kenyan media feels jealous after A380-800 landed in Dar instead of Nrb on a maiden trip to EA

mtanzania ni mtu wa ajabu narudia...hawa hapa watu wazima wenye akili timamu wameenda kufanya uzinduzi wa lift ya kwanza.....wamemualika mpaka meya na wanasiasa toka kila pembe ya mkoa kisa uzinduzi wa lift😀😀😀😀😀😀 niambie kama wewe ungekuwa mzungu, mjerumani, mrusi, mjapani au mchina, hivi utakosaje kuwadharau hawa limbukeni na kukosa kuwatilia maanani?
lift1.jpg
mbeya-uzinduzi-wa-lift.jpg
Bpx0IPWIUAAEnkP.jpg
 
najua kinacho wasumbua nyinyi washamba wa dunia....hii hapa chini
africa-un-jpg.502507

ndege ilitua kisa hali ya anga ila nyie washamba mnathan ni neema toka mbinguni...ama kweli umaskini ni ugonjwa...iafrika tuna kazi sana
its only in tz where a plane landing on an airport inaitwa maendeleo ya kuwafanya wengine waskie wivu...nyie mna akili timamu kweli?😀😀😀😀😀
Naona baada ya injinia wenu wa kibera kushindwa umeibuka mnywa chang'aa wa kibera .haya basi tuelimishe inatengenezwaje hapo kibera???
 
Naona baada ya injinia wenu wa kibera kushindwa umeibuka mnywa chang'aa wa kibera .haya basi tuelimishe inatengenezwaje hapo kibera???
hapa kibera tuna akili....hatuwezi kamwe kusherehekea upumbavu😀😀😀😀maybe ukawaulize wenzako ktk maeneo ya tandale na manzese...watakupa majibu unayotafta😀😀😀
 
No A380 has ever landed in JKIA or any airport in kenya. Whether its a silly thing or whatever thats the fact
And that's what bothers them n believe if the current growth in tourism is sustained, I see that big bird landing in JNIA also in KIA n Znz.
 
hapa kibera tuna akili....hatuwezi kamwe kusherehekea upumbavu😀😀😀😀maybe ukawaulize wenzako ktk maeneo ya tandale na manzese...watakupa majibu unayotafta😀😀😀
Endelea kusherehekea Only brt from kibera injinia
 
Endelea kusherehekea Only brt from kibera injinia
sawa mkaazi wa manzese...maisha yakazidi kuwa magumu vuka border tu hata AY aliimba navuka border...au sio?😀😀😀😀
 
sawa mkaazi wa manzese...maisha yakazidi kuwa magumu vuka border tu hata AY aliimba navuka border...au sio?😀😀😀😀
Unadhani sisi tunavuka boda ili tuwe gay Kwa wazungu kama nyinyi hadi mnasema"bora kuwa shoga ulaya kuliko kuludishwa Kenya"
 
mtanzania ni mtu wa ajabu narudia...hawa hapa watu wazima wenye akili timamu wameenda kufanya uzinduzi wa lift ya kwanza.....wamemualika mpaka meya na wanasiasa toka kila pembe ya mkoa kisa uzinduzi wa lift😀😀😀😀😀😀 niambie kama wewe ungekuwa mzungu, mjerumani, mrusi, mjapani au mchina, hivi utakosaje kuwadharau hawa limbukeni na kukosa kuwatilia maanani?
lift1.jpg
mbeya-uzinduzi-wa-lift.jpg
Bpx0IPWIUAAEnkP.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] waaah noma sana
 
sasa ni kipi cha kuwa jealous hapa...yaani ndege kutua tu kwenye runway? duh! miafrika bado tuna kazi....fikiria mtu ana jivunia emergency landing...maajabu ya musa haya...kisha tunashangazwa na wazungu wanapotudharau ila tabia zetu hizi hapa za kutia aibu🙁leo tunajivunia ukuta kesho emergency landing...duh!!!
Hebu punguza povu na uelewe hoja!

Hakuna mtu hapa anajivunia suala la emergency landing, bali kinachojadiliwa hapa ni uwezo wa JNIA kumudu kutua kwa ndege yenye ukubwa kama huo. Utakumbuka wakenya wenzio hapa wamekuwa wakibwabwaja hapa kuwa uwanja huu hauna uwezo kwa ndege ya aina hiyo kutua! Hivyo kitendo cha ndege hii kutua iwe kwa dharula au kawaida inadhihirisha kuwa uwezo upo.

Pili kuhusu suala la ukuta wa mererani, hakuna kitu cha maana kama kulinda rasilimali zako. Ngoja nikukumbushe;
Moja ya sera za Donald Trump wakati wa kampeini zake ilikuwa ni kujenga ukuta kati yake na Mexico. Jambo hilo wamarekani walilipenda na kumpa trump ridhaa ya kuongoza.

Sasa wewe unavyotushangaa sisi kujenga ukuta na kuongea inabidi tukushangae maana wazungu hao unaowaabudu wanafanya mambo kama haya haya.

Cha mwisho acha kuhusisha kila kitu unachokiona kwa upeo wako kuwa kibaya na uafrika. Huu ni utumwa. Naamini wewe hapo unatamani kila siku ungekuwa mzungu.
 
emirates wamevutiwa na uchapa kazi wa daudi bashite kutia mandole wanaume wa dar kupima tezi dume
 
mbona kenya airways inatua kote duniani??...yaani mtu mwenye akili punguani tu ndiye anaweza kushangilia upumbavu kama huu..tabia za ki LDC hizi....mi sioni jambo la kusikia wivu...emirates flights kwa ni ni za dhahabu au? kutua kwake kunamsaidia kivipi mtz au nchi kwa ujumla????? maswali yanayonikumba ni haya...ukijibu bila ujinga wa matusi ya peni mbili, nakuheshimu...fikiria mwarika kusini anashangilia kisa flight ya emirates imetua OR Tambo au mchina anasherehekea kisa ukuta umejengwa..hahaha...si watamwona mwendawazimu huyo? nyie huwa mnajishusha hadhi saa zingine...sometimes jiheshimuni ndio mheshimiwe angalau

Yaani siku hizi hata sina muda wa kuchangi humu. Yaani mtu anajigamba eti emergemcy landing imefanywa kwa runway. Ingekuwa ni scheduled flight basi kungekuwa na jambo la kusherehekea; kwani, ingekuwa onesho ya kuwa kuna kukua kwa miundo mbinu. Halafu argument hii ni ya kusikitisha sana:

Mlisema kwamba Airbus380 haiwezi kutua JNIA, sasa hii ni kuthibitisha kwamba ninyi ni debe tupu, hamjui mnalosema

Yaani huyu mtu kwa kweli hajui emergency landing yaweza kufanywa hata kwa mto?

Mwaka wa 2009, denge huko marekani ilifanya emergency landing juu ya mto Hudson. Kwa kweli sitaki kuamini ujinga fulani unapatika pahala hapa.

Hebu punguza povu na uelewe hoja!

Hakuna mtu hapa anajivunia suala la emergency landing, bali kinachojadiliwa hapa ni uwezo wa JNIA kumudu kutua kwa ndege yenye ukubwa kama huo. Utakumbuka wakenya wenzio hapa wamekuwa wakibwabwaja hapa kuwa uwanja huu hauna uwezo kwa ndege ya aina hiyo kutua! Hivyo kitendo cha ndege hii kutua iwe kwa dharula au kawaida inadhihirisha kuwa uwezo upo.

Pili kuhusu suala la ukuta wa mererani, hakuna kitu cha maana kama kulinda rasilimali zako. Ngoja nikukumbushe;
Moja ya sera za Donald Trump wakati wa kampeini zake ilikuwa ni kujenga ukuta kati yake na Mexico. Jambo hilo wamarekani walilipenda na kumpa trump ridhaa ya kuongoza.

Sasa wewe unavyotushangaa sisi kujenga ukuta na kuongea inabidi tukushangae maana wazungu hao unaowaabudu wanafanya mambo kama haya haya.

Cha mwisho acha kuhusisha kila kitu unachokiona kwa upeo wako kuwa kibaya na uafrika. Huu ni utumwa. Naamini wewe hapo unatamani kila siku ungekuwa mzungu.
utumwa ni kusherehekea ndege za ngambo zinapotua kwenu...mbona south african airways wana ndege kubwa kubwa zinazotua dar? mbona hamshangilii?
 
Yaani siku hizi hata sina muda wa kuchangi humu. Yaani mtu anajigamba eti emergemcy landing imefanywa kwa runway. Ingekuwa ni scheduled flight basi kungekuwa na jambo la kusherehekea; kwani, ingekuwa onesho ya kuwa kuna kukua kwa miundo mbinu. Halafu argument hii ni ya kusikitisha sana:

Yaani huyu mtu kwa kweli hajui emergency landing yaweza kufanywa hata kwa mto?

Mwaka wa 2009, denge huko marekani ilifanya emergency landing juu ya mto Hudson. Kwa kweli sitaki kuamini ujinga fulani unapatika pahala hapa.

Utumwa wa kiakili. Wengine huko wanasherehekea meli wakidhani ndio kubwa zaidi kudock East Africa. Cha kushangaza hata hawatajui na hawana haja ya kujui ni nini hiyo meli imeleta.
 
Lile suala la bad treatment kwa Mh. Miguna wa Miguna na kuingia kwenye ndege ya UAE kwa nguvu bado litawaandama mno....

Rubani wa A380 alikua na options zote, lakini alipofanya mawasiliano nyumbani (HQ) wakamwambia nenda JNIA ikishindikana ndio uende sehemu nyingine....
 
Mibongo bwana....ndo maana wanatawaliwa na wahutu

Ewe mtusi ni nani aliyesema mhutu hana haki ya kutawala. Ona sasa NCHI YENU inabaki MAHAME AU UKIWA. Msifikiri kila siku mtakuwa na mtu KAMA kagame ili kuiongoza NCHI. Msiporekebisha mitazamo YENU kuwaelekea wahutu kila mara your country will be experiencing something like what happened sometimes in April 1994.
Mitazamo YENU ina sumu kali SANA. Msipoitupilia mbali itaendelea kuwatafuna kizazi baada ya kizazi.
 
Back
Top Bottom