Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
mtanzania ni mtu wa ajabu narudia...hawa hapa watu wazima wenye akili timamu wameenda kufanya uzinduzi wa lift ya kwanza.....wamemualika mpaka meya na wanasiasa toka kila pembe ya mkoa kisa uzinduzi wa lift😀😀😀😀😀😀 niambie kama wewe ungekuwa mzungu, mjerumani, mrusi, mjapani au mchina, hivi utakosaje kuwadharau hawa limbukeni na kukosa kuwatilia maanani?