When Kenyans claims this interchange is in Nairobi

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917
AbassChizzy claimed this 2018 award winning 3 lavels interchange in Bulgaria for a highway btn Kalotina n Sofia to be in Nairobi!

D_4fc491ce2c574072f6d6120ef607e210.jpg

To this

837932

While claiming this
626px-rottepolderplein-jpg.838076

U r simply pathetic !
 
Which Country within Eastern Africa have that interchange rather than Kenya, Big up Kenyans
 
AbassChizzy claimed this 2018 award winning 3 lavels interchange in Bulgaria for a highway btn Kalotina n Sofia to be in Nairobi!

D_4fc491ce2c574072f6d6120ef607e210.jpg

To this

837932

While claiming this
626px-rottepolderplein-jpg.838076

U r simply pathetic !
Yenu iko wapi. Badala ya kuita mtu pathetic, tuonyeshe yenu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Did you just open a thread about me...how low can you sink buda...so what if i posted a wrong pic...nimekubali....but i feel sorry for you...JUST POST ONE...YANI...MOJA TU of an Interchange in tanzania...while you hate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa uko idle sana. Ukizeeka utaregret yale masaa yote uliyoyapoteza kwenye internet wakati Wakenya na Watanzania wajanja humu jf wanaingia humu dakika tano tu kila siku kisha wanasepa wanaenda kusoma au kufanya kazi. Wananunua mashamba, magari, wanafanya biashara na kadhalika. Wewe uko hapa tu unapost kuhusu Kenya na maisha inakupita. Wanasema "Time" is a precious resource, once it leaves it never comes back. Tumia muda wako vizuri ndugu yangu, siku za usoni usije ukawa mzee wa miaka sabini umekaa hapo ubungo flyover na kibakuli unaomba mapeni kutoka kwa akina Kadoda11, Motochini na Ichoboy ambao watakuwa wachoyo wanakunyima pesa. Tafuta pesa saa hii wakati una nguvu. Wachana na Kenya, wengine wetu ni Wakenya lakini hatuko Kenya saa hii bali tuko kwenye nchi za wenyewe tukitafuta pesa kwa ajili ya siku za usoni. Mimi sina fikra za Kenya sana japo mimi ni Mkenya halisi, basi mbona wewe ufikirie Kenya usiku na mchana?
 
Mkiumbuliwa huongea hivi!
 
At what if? U meant to deceive us that u have a superior infrastructure is cool! JF is no place for ur propaganda. In comparison to my posts of Kurasini interchange n soon to be launchef TAZARA flyover, u posted around 6 interchanges n sadly only three are in Kenya! U r a sick head. Not surprised though as even ur GoK cooks data as a recent saga with IMF tells. Seems deceitfulness is within ur blood as people.
 
Jamaa uko idle sana. Ukizeeka utaregret yale masaa yote uliyoyapoteza kwenye internet wakati Wakenya na Watanzania wajanja humu jf wanaingia humu dakika tano tu kila siku kisha wanasepa wanaenda kusoma au kufanya kazi. Wananunua mashamba, magari, wanafanya biashara na kadhalika. Wewe uko hapa tu unapost kuhusu Kenya na maisha inakupita. Wanasema "Time" is a precious resource, once it leaves it never comes back. Tumia muda wako vizuri ndugu yangu, siku za usoni usije ukawa mzee wa miaka sabini umekaa hapo ubungo flyover na kibakuli unaomba mapeni kutoka kwa akina Kadoda11, Motochini na Ichoboy ambao watakuwa wachoyo wanakunyima pesa. Tafuta pesa saa hii wakati una nguvu. Wachana na Kenya, wengine wetu ni Wakenya lakini hatuko Kenya saa hii bali tuko kwenye nchi za wenyewe tukitafuta pesa kwa ajili ya siku za usoni. Mimi sina fikra za Kenya sana japo mimi ni Mkenya halisi, basi mbona wewe ufikirie Kenya usiku na mchana?
Hii inaonyesha wazi kwamba misumari yake imekuchoma, lakini hongera kwa ushauri wako.

Kweli sana😂😂😂. Mimi huingia hapa nusu saa alafu naenda zangu. Maajabu ya Musa ni ushenzi ambayo huyu fala hupost day in day out.
 
Sasa huyu[emoji23] [emoji23] ati interchange in nairobi ni tatu[emoji23]buda unajua what an interchange is????punguza ushamba msee na uache kuzubaa...njoo nairobi ujuione cos clearly that shithole of a city has you blinded

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom