KIDUNDULIMA
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 966
- 540
Wasiige kunya kwa tembo! kenya ina uchumi mkubwa na bajeti yake kwa mwaka si ya kuchezeaLol. Na overpasses pia. Watatutusi nyani gunia nzima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasiige kunya kwa tembo! kenya ina uchumi mkubwa na bajeti yake kwa mwaka si ya kuchezeaLol. Na overpasses pia. Watatutusi nyani gunia nzima.
Lol. Wenzio hata hawajui maana ya interchange. Mmoja kasema hii ni roundaboutView attachment 950676
Kumbuka 30% ya land tz in reserved for national parks
Geza Ulole bado unasema Kenya kuna interchange tatu pekee???Pamoja na kuwaponda wakenya, ila tunasafari ndefu sana kuwafikiwa kwa mambo ya interchange kwenye barabara. wako mbali sana
Lol. Hata wewe msomi lol. That is a cloverleaf interchange. We also have a diamond interchange and maybe in the near future we will have a roundabout interchange. Learn how to differentiate among interchanges,overpasses and roundabouts.
Jealousy makes you people blind.
Muache ujinga wa kujikweza humu ndani!
Hawa jamaa wajinga sana.
Mnionyeshe kama hii hapo LDC nitoke JF Kabisaamwingine juzi tu hapa ali upload picha ya Amsterdam anadanganya eti ni thika,Kenya!
Linchi likubwa pamoja na population kubwa na madini ila kwa infrastructure ni bure kabisa Geza Ulole itabidi muiuze nchi yenu muhamie hapa Kenya tutawapa makao haa mkiwa omba omba nasi tuichukuwe nchi yenu muone vile tutaistawisha hadi mchonge.
Linchi likubwa pamoja na population kubwa na madini ila kwa infrastructure ni bure kabisa Geza Ulole itabidi muiuze nchi yenu muhamie hapa Kenya tutawapa makao haa mkiwa omba omba nasi tuichukuwe nchi yenu muone vile tutaistawisha hadi mchonge.
anafanya kazi kitengo cha propaganda pale lumumba........Jamaa uko idle sana. Ukizeeka utaregret yale masaa yote uliyoyapoteza kwenye internet wakati Wakenya na Watanzania wajanja humu jf wanaingia humu dakika tano tu kila siku kisha wanasepa wanaenda kusoma au kufanya kazi. Wananunua mashamba, magari, wanafanya biashara na kadhalika. Wewe uko hapa tu unapost kuhusu Kenya na maisha inakupita. Wanasema "Time" is a precious resource, once it leaves it never comes back. Tumia muda wako vizuri ndugu yangu, siku za usoni usije ukawa mzee wa miaka sabini umekaa hapo ubungo flyover na kibakuli unaomba mapeni kutoka kwa akina Kadoda11, Motochini na Ichoboy ambao watakuwa wachoyo wanakunyima pesa. Tafuta pesa saa hii wakati una nguvu. Wachana na Kenya, wengine wetu ni Wakenya lakini hatuko Kenya saa hii bali tuko kwenye nchi za wenyewe tukitafuta pesa kwa ajili ya siku za usoni. Mimi sina fikra za Kenya sana japo mimi ni Mkenya halisi, basi mbona wewe ufikirie Kenya usiku na mchana?