When Kenyans claims this interchange is in Nairobi

When Kenyans claims this interchange is in Nairobi

It ain't trickin if you got it homeboy
DAdLltdXUAY1uix
 
Lol. Hata wewe msomi lol. That is a cloverleaf interchange. We also have a diamond interchange and maybe in the near future we will have a roundabout interchange. Learn how to differentiate among interchanges,overpasses and roundabouts.
Jealousy makes you people blind.

Ahaaa haaa haaa
mi sina wivu bana. ningekuwa na wifu ningekuwa na kitambi!!!??? (just a joke).
Teh teh teh tihiii
 
Linchi likubwa pamoja na population kubwa na madini ila kwa infrastructure ni bure kabisa Geza Ulole itabidi muiuze nchi yenu muhamie hapa Kenya tutawapa makao haa mkiwa omba omba nasi tuichukuwe nchi yenu muone vile tutaistawisha hadi mchonge.

mumeshindwa nini kuisitawisha Kenya. kila siku watu wanakufa njaa, corruption kubwa mpaka askari wanajiuliza anticorruption watatukamateje wakati wenyewe ndiyo wanaoongoza kula rushwa!!??, nepotism, tribalism na unemployment enyewe iko at epidemic proportions.
bure kabisa. ukimaliza hayo mauzauza ndiyo uje hapa kuropoka ropoka.
pambaf.
 
Jamaa uko idle sana. Ukizeeka utaregret yale masaa yote uliyoyapoteza kwenye internet wakati Wakenya na Watanzania wajanja humu jf wanaingia humu dakika tano tu kila siku kisha wanasepa wanaenda kusoma au kufanya kazi. Wananunua mashamba, magari, wanafanya biashara na kadhalika. Wewe uko hapa tu unapost kuhusu Kenya na maisha inakupita. Wanasema "Time" is a precious resource, once it leaves it never comes back. Tumia muda wako vizuri ndugu yangu, siku za usoni usije ukawa mzee wa miaka sabini umekaa hapo ubungo flyover na kibakuli unaomba mapeni kutoka kwa akina Kadoda11, Motochini na Ichoboy ambao watakuwa wachoyo wanakunyima pesa. Tafuta pesa saa hii wakati una nguvu. Wachana na Kenya, wengine wetu ni Wakenya lakini hatuko Kenya saa hii bali tuko kwenye nchi za wenyewe tukitafuta pesa kwa ajili ya siku za usoni. Mimi sina fikra za Kenya sana japo mimi ni Mkenya halisi, basi mbona wewe ufikirie Kenya usiku na mchana?
anafanya kazi kitengo cha propaganda pale lumumba........


humu mitandaoni usibishane sana na watu, some of them are paid trolls...... its their life!
 
Back
Top Bottom