when Kenyans gather to see a Tanzanian

when Kenyans gather to see a Tanzanian

rais wako

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2015
Posts
605
Reaction score
513
Hakuna mkenya anaweza kukusanya kijiji namna hii akiwa Tz...
ila watanzania ni kawaida kwao kuwakusanya wakenya wakajazana mpaka maghorofani ili wamuangalie mtanzania
mwenye video ya mkenya au wakenya wakipokelewa na umati wa wa Tanzania naomba ailete hapa namaanisha video ya mkenya yoyote kuanzia rais wao
View attachment 6089142095efaac4ea9c5e22beeda7e2.mp4
 
Kumbukumbu: Watanzania na rais wao wakimshobokea mkenya Barrack Hussein Otieno Obama kutoka K'Ogello, Siaya. Hahaha! [emoji23]
obama-reu.jpg
 
When his Kenyan biological father went to visit America and made obama.
When did Barak Obama Become Kenyan?
Nyinyi mnamjua leo ju alikua Président. Sisi tumekuwa na yeye from child hood. He frequently visited his hometown long before anybody knew him.
Najua uwivu inakumaliza[emoji24][emoji24][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
article-2290803-0A95C4F8000005DC-442_634x435.jpeg
obama-in-nairobi.jpeg
 
When his Kenyan biological father went to visit America and made obama.Nyinyi mnamjua leo ju alikua Président. Sisi tumekuwa na yeye from child hood. He visited his hometown long before anybody knew him.
Najua uwivu inakumaliza[emoji24][emoji24][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 919783View attachment 919784
Umewaweza😂😂😂😂

Tungoje povu Sasa.
 
Mkenya halisi[emoji1612][emoji1139][emoji1139][emoji1139] by blood.
When his Kenyan biological father went to visit America and made obama.Nyinyi mnamjua leo ju alikua Président. Sisi tumekuwa na yeye from child hood. He frequently visited his hometown long before anybody knew him.
Najua uwivu inakumaliza[emoji24][emoji24][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 919783View attachment 919784
Family is family. Obama otieno Barack. Jina ni ya kikenya from K'ogalo, the first Black US president. A Kenyan by blood. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Watu wa danganyika msijinyonge.
obama-kenya-01.jpeg
c788b2f854854a288233592f2e91ffb3_18.jpeg
 
Kumbukumbu: Watanzania na rais wao wakimshobokea mkenya Barrack Hussein Otieno Obama kutoka K'Ogello, Siaya. Hahaha! [emoji23]
obama-reu.jpg

Teh teh teh tihiii
yaani hapa ndiyo nabaki mdomo wazi. hivi mnaakili KWELI?? MIGUNA MIGUNA mnakana ili hali kaishi miaka yoote Kenya na kuhamia ughaibuni kuhemea akiwa mkubwa tu.
lkn huyu ambaye huja Kenya kama mtalii mnamshobokea eti ni mKenya. ana PassPort au Birth Certificate ya Kenya? wee unafikiri angekuwa mKenya angekuwa RAIS wa US?

Ahaaa haaa haaa
tumia AKILI japo kidogo.
 
Tanzania hamwezi toa mbegu kama hiyo hata mkilana uroda kila siku.
 
Huyo ni mkenya but living in denial. Any kenyan that recognise him/her self as Kenyan is already Kenyan. We call wanyama Kenyan and Origi Belgian ju wanyama anajitambua kama mkenya. Miguna is just a Froud.
Teh teh teh tihiii
n what about MIGUNA MIGUNA??
 
Huyo ni mkenya but living in denial. Any kenyan that recognise him/her self as Kenyan is already Kenyan. We call wanyama Kenyan and Origi Belgian ju wanyama anajitambua kama mkenya. Miguna is just a Froud.

Teh teh teh tihiii
acha povu na maneno mingi. we need facts and figures (i mean docs) to prove your longolongo.
 
Ni mweisi ju damu yake ni ya mkenya. Miguna too. The only difference is that he was born in the US so he is automatically a US citizen. Kuna wazungu na hata Watanzania ambao niwakenya kupitia ndoa/kuzaliwa but damu yao ni ya Kitanzania. They originated from tz. Hio ndio tunamaanisha churai.
Teh teh teh tihiii
yaani hapa ndiyo nabaki mdomo wazi. hivi mnaakili KWELI?? MIGUNA MIGUNA mnakana ili hali kaishi miaka yoote Kenya na kuhamia ughaibuni kuhemea akiwa mkubwa tu.
lkn huyu ambaye huja Kenya kama mtalii mnamshobokea eti ni mKenya. ana PassPort au Birth Certificate ya Kenya? wee unafikiri angekuwa mKenya angekuwa RAIS wa US?

Ahaaa haaa haaa
tumia AKILI japo kidogo.
 
Ni mweisi ju damu yake ni ya mkenya. Miguna too. The only difference is that he was born in the US so he is automatically a US citizen. Kuna wazungu na hata Watanzania ambao niwakenya kupitia ndoa/kuzaliwa but damu yao ni ya Kitanzania. They originated from tz. Hio ndio tunamaanisha churai.

i never heard such citizenship. a blood citizenship.
 
Back
Top Bottom