when Kenyans gather to see a Tanzanian

Kumbukumbu: Watanzania na rais wao wakimshobokea mkenya Barrack Hussein Otieno Obama kutoka K'Ogello, Siaya. Hahaha! [emoji23]
Acha ukilaza Obama ni mmarekani,sio mkenya,kama mkenya ameweza vipi kuwa raisi wa marekani?
Miguna,mlimzuia asiingie Kenya,kwa sababu tu ana passport ya Canada,mkasema huyu sio mkenya,richa ya kwamba amezaliwa na kukulia Kenya,sembuse Obama mwenye damu ya kizungu,tena amezaliwa na kukulia USA,!!!
 
Hahahahaha, sawa nyanyangu, bila shaka umeanza kuelewa kwanini wakenya hawaelewani na nchi nyingi za Africa.
Tunaelewana na Waganda Tangu jadi. Hatujawahi kosana. Lakini nyie uroho ndio mnao kwa kiasi kikubwa.
 
Ila bado tunasafari ndefu
yaani watu wanalazimisha mtu awe Raia wa nchi yao
kwanguvu kanakwamba ndie kaikamatia Pumzi yao!!
Sielewi. Hujafurahia kuona Mtanzania mwenzako akisherehekewa?
 
Tunaelewana na Waganda Tangu jadi. Hatujawahi kosana. Lakini nyie uroho ndio mnao kwa kiasi kikubwa.
Mnagombania Kisiwa cha Migingo, mling'oa mataruma ya reli inayoenda Uganda na mkaharibu Mali nyingi za waganda mwaka 2007, hadi Leo mumekataa kuwalipa compensation, juzi mumeingilia waganda katika siasa zao za ndani, wabunge wenu walianza kumkashifu Museven. South Sudan huko mnagombania kipande cha ardhi, Burundi hawataki kuwasikia kwa madai ya kusaidiana na Kagame kutaka kuhujumu serikali ya Burundi.
 
Wabongo bana, baadhi yenu huwa mna stress kupitiliza, no sense of humour whatsover, kila kila kitu mnakichukulia negative. Yaani hamuwezi enjoy maisha tu mkitaniwa mnanuna bure. Maisha ni mafupi bana.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Umewamaliza. Obama ndio dawa ya hizi maumbwa
Nani kasema Obama ni mkenya?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mbona wakenya mnachekesha?
Mnapenda kushobokea vitu visivyo vyenu
Ndìo maana hata mlima kilimanjaro hua mnasema wa kwenu na kiswahili hua mnasema ni luğha yenu
 
Hatujawahi fungiana border na Waganda. Hatuwahi lipizana kisasi. Hata hio migingo hakujawahi tokea vita. Serikali kwa serikali, uhusiano haijawahi yumba. 2007 ni wananchi waling'oa reli sio serikali ndio maana Museveni hakucomplain kwani wananchi ndio waliokuwa na makosa.
 
Ninyi hamuelewani na nchi nyingi za Africa kutokana na kujifanya wajuaji sana, kutoelewana na watu au nchi zingine haina maana kupigana au kufungiana mipaka.

Kitendo cha kusuguana na majirani zenu karibu wote wanaowazunguka, iwe ni serikali kwa serikali, au wananchi kwa wananchi ni dalili ya wazi kwamba Kenya na wakenya kwa ujumly sio watu wazuri.

Uganda mahusiano yenu ni mabaya kati ya serikali na serikali na wananchi kwa wananchi (Migingo), Somalia ni serikali kwa serikali,. Ethiopia ni wananchi kwa wananchi. South Sudan ni serikali kwa serikali. Burundi, ni serikali kwa serikali. Tanzania....
 
that came in first in 2009 on sale at eBay, if Donald Trump used it was because he is ignorant. Moreover, the place where Obama was born has a tendency of producing names of newly born babies in a newspaper, his name was there. Google it pingli-nywee
 
that came in first in 2009 on sale at eBay, if Donald Trump used it was because he is ignorant. Moreover, the place where Obama was born has a tendency of producing names of newly born babies in a newspaper, his name was there. Google it pingli-nywee
You first google the word conspiracy. I used it prominently in that comment of mine that you quoted. Quit chasing ghosts in the darkness.
 
Hahahaha wow nimecheka kweli
 
Tunaelewana na Waganda Tangu jadi. Hatujawahi kosana. Lakini nyie uroho ndio mnao kwa kiasi kikubwa.
Kama mnaelewana na waganda jaribuni kugusa migingo,kuna kipindi mlidai kisiwa chenu!Tanzania ndio baba hapa maziwa makuu,kagame,nkurunziza,kabila na museveni wote washaishi Tanzania,nyie mnajipendekeza tu huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…