JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Acha ukilaza Obama ni mmarekani,sio mkenya,kama mkenya ameweza vipi kuwa raisi wa marekani?Kumbukumbu: Watanzania na rais wao wakimshobokea mkenya Barrack Hussein Otieno Obama kutoka K'Ogello, Siaya. Hahaha! [emoji23]![]()
Miguna,mlimzuia asiingie Kenya,kwa sababu tu ana passport ya Canada,mkasema huyu sio mkenya,richa ya kwamba amezaliwa na kukulia Kenya,sembuse Obama mwenye damu ya kizungu,tena amezaliwa na kukulia USA,!!!