When will Kenya have a new modern stadium??

Tanzania wins Street Child World Cup
 
Kwa sasa anatumia madawa ya kulevya Hana hata mia mfukoni
Eti nini? Acha porojo, Zarika Fatuma alimpa mmexico Yemi Marcado kichapo cha kweli mwezi uliopita na aka'defend' belt yake tena kwa mwaka wa tatu. Ana ufadhili wa hela ndefu kutoka kwa Sportpesa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna mtu hapa hajui kusoma, Z-A-R-I-K-A F-A-T-U-M-A, ndiye anayeshikilia title ya WBC, acha pumba zako za copy and paste.
 
Sasa akisema hiyo inamaanisha anatumia dawa za kulevya[emoji848][emoji848] kutumia akili ni kitu muhimu sana
Kuna mtu hapa hajui kusoma, Z-A-R-I-K-A F-A-T-U-M-A, ndiye anayeshikilia title ya WBC, acha pumba zako za copy and paste.
Huyu kwa sasa anatumia drugs kwenda mbele. Pesa hana. Sonko anataka kumpeleka kwa rehab.
 
Unasema conjestina ...achanga porojo
Huyo jamaa ni kilaza flani tu, kukosa elimu ni kitu kibaya sana. Yaani hadi namuandika jina Zarika Fatuma kwa herufi kubwa lakini bado haelewi. Yeye anacopy paste tu wakati hata hafahamu kwamba anayemuongelea sio Zarika. Hahaha! [emoji23]
 
taifa starz hovyoooo....wanapeleka ujiko lesotho baada ya kula hela za magu!
 
Huyo jamaa ni kilaza flani tu, kukosa elimu ni kitu kibaya sana. Yaani hadi namuandika jina Zarika Fatuma kwa herufi kubwa lakini bado haelewi. Yeye anacopy paste tu wakati hata hafahamu kwamba anayemuongelea sio Zarika. Hahaha! [emoji23]
Hivi mtu anaweza kuelimika na bado akaendekeza ukabila katika dunia ya Leo ya sayansi?
 
Kenya Will build them when having a new modern stadium becomes a priority. We have roads, railways,airports and electricity generation plants to build first.
 
Kwani umesikia TZ haifanyi hivyo vyote?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚TZ ime simama au sioπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…