Kenya imeongoza dunia mara kadhaa kwenye michuano mbalimbali, raga, riadha, raga kwa kina dada Afrika, mpira wa wavu kwa kina dada Afrika. Kwenye riadha wakenya wameongoza dunia, kwa wingi wa medali na sio gold medal tu zilizoshinda na watu binafsi. Olympics zilizokuwa Beijing.
Mchuano wa kimataifa wa raga HBSC Rugby Singapore7s.
Under-20 World Athletics Championship, mwaka huu, kule Tampere, Finland.
Kenya Lionesses waliposhina ubingwa wa raga kwa kina dada Afrika, mapema mwaka huu kule Gaborone, Botswana.