Where did you meet with your partner?

Where did you meet with your partner?

Hujaeleweka vizuri,patner wa kwanza au wa mwisho au wote,maana kuna wengine ukisema wote sijui kama hii nafasi hapa itatosha...

Wowote awe wa kwanza au wa mwisho
we kama una list ya partner
andika tu usijari. Wa kwanza adi wa mwisho
 
(nje ya nyumba yao)
Aisee kalikua katoto ka jirani, kakanipenda 8 years ago
 
Under ze coconut tree[emoji2960][emoji2960][emoji2960] No! under ze mango tree, you know us the foreigner who come from bush bush! [emoji2960][emoji2960][emoji2960]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Hujaeleweka vizuri,patner wa kwanza au wa mwisho au wote,maana kuna wengine ukisema wote sijui kama hii nafasi hapa itatosha...
Sasa chief akisema wote tutawakumbuka kweli? Ni vigumu sana konda wa mabasi ya mkoa kuwakumbuka abiria wote! [emoji2960][emoji2960][emoji2960]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Mlikutana wapi we na partner ako? Lemme answer first. I met him mkuki pizza hut pale.

Wewe na mwenzio mlikutana wapi?
Aaaaaargh, ushaharibu!! I wish ingekuwa "I still dunno where am I gonna meet my dream partner"
 
Back
Top Bottom