Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi wangu JF...Wowote awe wa kwanza au wa mwisho
we kama una list ya partner
andika tu usijari. Wa kwanza adi wa mwisho
Dadii JF
Other partner JF
Mchokozi JF
Aliyenihonga gari nilikutana nae msibani nilikuwa nawanawisha mikono kabla ya chakula.
Sasa chief akisema wote tutawakumbuka kweli? Ni vigumu sana konda wa mabasi ya mkoa kuwakumbuka abiria wote! [emoji2960][emoji2960][emoji2960]Hujaeleweka vizuri,patner wa kwanza au wa mwisho au wote,maana kuna wengine ukisema wote sijui kama hii nafasi hapa itatosha...
Aaaaaargh, ushaharibu!! I wish ingekuwa "I still dunno where am I gonna meet my dream partner"Mlikutana wapi we na partner ako? Lemme answer first. I met him mkuki pizza hut pale.
Wewe na mwenzio mlikutana wapi?