Azory was a double agent..ali mess up upande mmoja! wengi hamjui hili..endeleeni kushabikia..!
Mkuu hizi post mie hua nazipita kama sijaona kitu; kuna mengi nyuma ya pazia!Ohooo kumbe
Ali mess up upande gani?Azory was a double agent..ali mess up upande mmoja! wengi hamjui hili..endeleeni kushabikia..!
Post ya Bishop Hiluka hapo juu #3 umeiona?, kama humtamani mtu aliyeshika namba 51 duniani kwa amani wakati wewe upo namba 123, kitu gani tena hapa duniani utakitamani?Wasimsahau na Ben Saanane pia ambaye alikuwa member wa Jf, huwa naona post zake za zamani humu. Majirani ambao tulikuwa tunatamani amani yao siku hizi wamekuwa mafioso.
Ohooo kumbe
Mkuu hizi post mie hua nazipita kama sijaona kitu; kuna mengi nyuma ya pazia!
Kumbe Weee ndo unajua. Alimessup upande wa nani. Maanake hawa ndio wanajua Azory Yuko wapi
Sijabisha kuhusu post ya Bishop ila kwa Tz tulioijua zamani habari za Gwanda kupotezwa baada ya kuhoji mauaji ya watu 40 wasio na hatia sio jambo la kawaida. Utakuwa umerogwa maanake naona unafurahia sana watz wenzako wakiuwawa na kupotezwa na vitengo vya usalama. Huo ni umbumbumbu wa hali ya juu. Hakuna siku ambayo nimeunga au nitaunga mkono uhuni kama huo unapofanywa dhidi ya wakenya wenzangu, au raia yeyote yule wa kawaida hata awe sio mkenya. Kama hujanielewa, kwa ufupi namaanisha, f#ck the police!Post ya Bishop Hiluka hapo juu #3 umeiona?, kama humtamani mtu aliyeshika namba 51 duniani kwa amani wakati wewe upo namba 123, kitu gani tena hapa duniani utakitamani?
Kawaulize polisi wanaofanya uchunguzi.
Hakuna mtu anayefurahia unyama kama huo, wasiwasi wangu ni kuhusu Mkenya kushughulika na watanzania wachache waliopotea wakati kuna hundreds of thousands of Kenyans wanaopotea na kuuliwa na vyombo vya usalama wa serikali ya Kenya na hakuna hata zozote zinazochukuliwa. Hivi mkenya anapata wapi nguvu ya kuuliza kuhusu watu wanne au watano waliopotea Tanzania na asishughulike na mamia na maelfu ya wakenya huko Pwani wanaouliwa na kutoweka kila Leo?Sijabisha kuhusu post ya Bishop ila kwa Tz tulioijua zamani habari za Gwanda kupotezwa baada ya kuhoji mauaji ya watu 40 wasio na hatia sio jambo la kawaida. Utakuwa umerogwa maanake naona unafurahia sana watz wenzako wakiuwawa na kupotezwa na vitengo vya usalama. Huo ni umbumbumbu wa hali ya juu. Hakuna siku ambayo nimeunga au nitaunga mkono uhuni kama huo unapofanywa dhidi ya wakenya wenzangu, au raia yeyote yule wa kawaida hata awe sio mkenya. Kama hujanielewa, kwa ufupi namaanisha, f#ck the police!