Where is Azory Gwanda?

Where is Azory Gwanda?

Depay

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2015
Posts
6,562
Reaction score
3,905
Tanzanian freelance journalist Azory Gwanda has not been seen for 500 days, and his family and friends fear the worst. Prior to his disappearance, Gwanda had exposed the murders of over 40 people within a two-year period.

The Committee to Protect Journalists has now launched the #WhereIsAzory campaign to draw attention not just to Gwanda’s case but the problem of diminishing press freedom in Tanzania in general.

TZ+pic.jpg
PIA, SOMA:
-
Mwandishi wa kampuni ya Mwananchi Communications (MCL), Azory Gwanda apotea siku 10 na hajulikani alipo
 
Kabla ya kuanza kuuliza habari za Azory Gwanda, ingependeza kwanza ungeuliza kuhusu walipo waandishi hawa: Joseph Masha (Standard Group); Dennis Otieno (Freelance); John Kituyi (Weekly Citizen); Francis Nyaruri (Weekly Citizen); Samuel Nduati (Royal Media House); William (Michael) Munuhe (Former Freelance Journalist); Hos Maina, Anthony Macharia (Both Kenyans), Don Eldon (Kenyan resident), na Hansi Krauss (German) wa Reuters and AP...
 
images
Wasimsahau na Ben Saanane pia ambaye alikuwa member wa Jf, huwa naona post zake za zamani humu. Majirani ambao tulikuwa tunatamani amani yao siku hizi wamekuwa mafioso.
 
images
Wasimsahau na Ben Saanane pia ambaye alikuwa member wa Jf, huwa naona post zake za zamani humu. Majirani ambao tulikuwa tunatamani amani yao siku hizi wamekuwa mafioso.
Post ya Bishop Hiluka hapo juu #3 umeiona?, kama humtamani mtu aliyeshika namba 51 duniani kwa amani wakati wewe upo namba 123, kitu gani tena hapa duniani utakitamani?
 
Wadanganyika wengine ni wakora tu. Mama ya huyu kijana Azory ameshikilia tumbo siku 500 asiambiwe hata lolote na serikali. Wagemwambia hata ameuawa angekubali.
 
Post ya Bishop Hiluka hapo juu #3 umeiona?, kama humtamani mtu aliyeshika namba 51 duniani kwa amani wakati wewe upo namba 123, kitu gani tena hapa duniani utakitamani?
Sijabisha kuhusu post ya Bishop ila kwa Tz tulioijua zamani habari za Gwanda kupotezwa baada ya kuhoji mauaji ya watu 40 wasio na hatia sio jambo la kawaida. Utakuwa umerogwa maanake naona unafurahia sana watz wenzako wakiuwawa na kupotezwa na vitengo vya usalama. Huo ni umbumbumbu wa hali ya juu. Hakuna siku ambayo nimeunga au nitaunga mkono uhuni kama huo unapofanywa dhidi ya wakenya wenzangu, au raia yeyote yule wa kawaida hata awe sio mkenya. Kama hujanielewa, kwa ufupi namaanisha, f#ck the police!
 
Hizo habari za watu 40 kutoweka ndani ya miaka miwili, yaani kule Bongo balaa, mambo kimya kimya na Noah nyeupe ya wasiojulikana.
Halafu hao ni walioripotiwa, waganga njaa wa Tandale huwa hawatajwi wakiondolewa.
 
Sijabisha kuhusu post ya Bishop ila kwa Tz tulioijua zamani habari za Gwanda kupotezwa baada ya kuhoji mauaji ya watu 40 wasio na hatia sio jambo la kawaida. Utakuwa umerogwa maanake naona unafurahia sana watz wenzako wakiuwawa na kupotezwa na vitengo vya usalama. Huo ni umbumbumbu wa hali ya juu. Hakuna siku ambayo nimeunga au nitaunga mkono uhuni kama huo unapofanywa dhidi ya wakenya wenzangu, au raia yeyote yule wa kawaida hata awe sio mkenya. Kama hujanielewa, kwa ufupi namaanisha, f#ck the police!
Hakuna mtu anayefurahia unyama kama huo, wasiwasi wangu ni kuhusu Mkenya kushughulika na watanzania wachache waliopotea wakati kuna hundreds of thousands of Kenyans wanaopotea na kuuliwa na vyombo vya usalama wa serikali ya Kenya na hakuna hata zozote zinazochukuliwa. Hivi mkenya anapata wapi nguvu ya kuuliza kuhusu watu wanne au watano waliopotea Tanzania na asishughulike na mamia na maelfu ya wakenya huko Pwani wanaouliwa na kutoweka kila Leo?
 
Back
Top Bottom