Post ya Bishop Hiluka hapo juu #3 umeiona?, kama humtamani mtu aliyeshika namba 51 duniani kwa amani wakati wewe upo namba 123, kitu gani tena hapa duniani utakitamani?
Hahahahaha, you know nothing about uses of number vs percentage. Have you gone through Epidemiology and Biostatistics?,Numbers don't count. Its the % or grade that counts. Is like you are trying to brag that you are number one in your class with a grade E.
Hebu tuonyeshe alipo hoji hayo mauaji ya watu 40.Sijabisha kuhusu post ya Bishop ila kwa Tz tulioijua zamani habari za Gwanda kupotezwa baada ya kuhoji mauaji ya watu 40 wasio na hatia sio jambo la kawaida. Utakuwa umerogwa maanake naona unafurahia sana watz wenzako wakiuwawa na kupotezwa na vitengo vya usalama. Huo ni umbumbumbu wa hali ya juu. Hakuna siku ambayo nimeunga au nitaunga mkono uhuni kama huo unapofanywa dhidi ya wakenya wenzangu, au raia yeyote yule wa kawaida hata awe sio mkenya. Kama hujanielewa, kwa ufupi namaanisha, f#ck the police!
Hakuna mtu anayefurahia unyama kama huo, wasiwasi wangu ni kuhusu Mkenya kushughulika na watanzania wachache waliopotea wakati kuna hundreds of thousands of Kenyans wanaopotea na kuuliwa na vyombo vya usalama wa serikali ya Kenya na hakuna hata zozote zinazochukuliwa. Hivi mkenya anapata wapi nguvu ya kuuliza kuhusu watu wanne au watano waliopotea Tanzania na asishughulike na mamia na maelfu ya wakenya huko Pwani wanaouliwa na kutoweka kila Leo?
Hebu soma hizi habari hapa kutoka DW. https://m.dw.com/en/a-missing-journ...ivists-whats-happening-in-tanzania/a-46399945 Kuhusu alivotoweka na jamaa wawili kwenye gari ya white(naaam), baada ya ku'expose' mauaji ya watu 40, na kilio cha mke wake pia.Hebu tuonyeshe alipo hoji hayo mauaji ya watu 40.
Mtu anapotezwa kwa kuumbua mauaji ya watu 40 alafu wewe hapo unasema ni watu wachache? Huu ushetani wako ni kwasababu tu ya sahani moja ya wali maharage, t-shirt moja na kofia? [emoji15]Hakuna mtu anayefurahia unyama kama huo, wasiwasi wangu ni kuhusu Mkenya kushughulika na watanzania wachache waliopotea wakati kuna hundreds of thousands of Kenyans wanaopotea na kuuliwa na vyombo vya usalama wa serikali ya Kenya na hakuna hata zozote zinazochukuliwa. Hivi mkenya anapata wapi nguvu ya kuuliza kuhusu watu wanne au watano waliopotea Tanzania na asishughulike na mamia na maelfu ya wakenya huko Pwani wanaouliwa na kutoweka kila Leo?
Mtu mpumbavu huwa anazima moto unaoteketeza shamba la jirani lakini hashughuliki na NYUMBA yake inayoungua. Matukio ya kupotea watu Tanzania, hayafiki hata 1% ya matukio kama hayo huko kwenu, ni mtu mwendawazimu pekee atakayeshughulika na 1% na kuacha 100%.Wewe una kichaa mtu punda. Unasema watanzania wachache waliopotea? Hata mwanza nia mmoja aliyepotea ni gharama kubwa sana kwa nchi ya Tanzania sembuse hiyo halaika mnayowaua na kuwaficha. Maovu yatemea tu siku mmoja mchana
Mtu anapotezwa kwa kuumbua mauaji ya watu 40 alafu wewe hapo unasema ni watu wachache? Huu ushetani wako ni kwasababu tu ya sahani moja ya wali maharage, t-shirt moja na kofia? [emoji15]
Mtu mpumbavu huwa anazima moto unaoteketeza shamba la jirani lakini hashughuliki na NYUMBA yake inayoungua. Matukio ya kupotea watu Tanzania, hayafiki hata 1% ya matukio kama hayo huko kwenu, ni mtu mwendawazimu pekee atakayeshughulika na 1% na kuacha 100%.
Badala ya kuja kujifunza ni kwajinsi gani Tanzania tunaishi kwa Amani hadi tukashika namba 51 duniani, eti mtu aliyeshika namba 123 anajaribu kumshangaa na kumkosoa yule wa 51, kama sio ukichaa huo ninini?
Msando, Jacob JUMA, Masaburi na Avoid Rogo, hivi hata mlichunguza mauaji yao?, vipi kuhusu huyu Pastor?, https://www.thetablet.co.uk/news/79...nstrators-by-kenyatta-s-government-found-deadWewe ni fala tu hakuna kitu unajua hapa. Produce Azory Gwanda and open a case to Kibiti massacre
Wewe njoo na ugaidi wako Tanzania au njoo uhoji jinsi vyombo vya usalama vinavyokabiliana na magaidi kama na wewe hujawafuata hao magaidi wenzio unaowakingia kifuaWewe ni fala tu hakuna kitu unajua hapa. Produce Azory Gwanda and open a case to Kibiti massacre
Wewe njoo na ugaidi wako Tanzania au njoo uhoji jinsi vyombo vya usalama vinavyokabiliana na magaidi kama na wewe hujawafuata hao magaidi wenzio unaowakingia kifua
Huyo azory hakuona magaidi walivyokua wakichinja watu na police kibiti, aliona magaidi wanaouwawa sasa aende akawahoji magaidi vizuri
Msando, Jacob JUMA, Masaburi na Avoid Rogo, hivi hata mlichunguza mauaji yao?, vipi kuhusu huyu Pastor?, https://www.thetablet.co.uk/news/79...nstrators-by-kenyatta-s-government-found-dead
Mnaua hata viongozi wa dini?, mpo na laana ninyi.
Uliona yetu ilinyamaza as if nothing happened? You are such an annoyingly rubber dead society.
Hata wewe unajua kwamba hujajibu hoja yangu. Na hata hicho kiambatanisho hakionyeshi report ya Azory Gwanda mwenyewe. Kina maelezo ya juu juu tu. Si kila habari ina ukweli unaoufikiria wewe.Hebu soma hizi habari hapa kutoka DW. https://m.dw.com/en/a-missing-journ...ivists-whats-happening-in-tanzania/a-46399945 Kuhusu alivotoweka na jamaa wawili kwenye gari ya white(naaam), baada ya ku'expose' mauaji ya watu 40, na kilio cha mke wake pia.
Chris Msando alipatikana?, wewe kweli ni a person made in failed state.km ni msando si alipatikana...lkn kibarua ni hyo gwanda....sidhani km ataonekana tena...tundu lissu tu kaponea..wachezea jiwe wewe
Mkuu,Wewe njoo na ugaidi wako Tanzania au njoo uhoji jinsi vyombo vya usalama vinavyokabiliana na magaidi kama na wewe hujawafuata hao magaidi wenzio unaowakingia kifua
Huyo azory hakuona magaidi walivyokua wakichinja watu na police kibiti, aliona magaidi wanaouwawa sasa aende akawahoji magaidi vizuri