Where is Azory Gwanda?

Where is Azory Gwanda?

Numbers don't count. Its the % or grade that counts. Is like you are trying to brag that you are number one in your class with a grade E.
Post ya Bishop Hiluka hapo juu #3 umeiona?, kama humtamani mtu aliyeshika namba 51 duniani kwa amani wakati wewe upo namba 123, kitu gani tena hapa duniani utakitamani?
 
Numbers don't count. Its the % or grade that counts. Is like you are trying to brag that you are number one in your class with a grade E.
Hahahahaha, you know nothing about uses of number vs percentage. Have you gone through Epidemiology and Biostatistics?,
 
Sijabisha kuhusu post ya Bishop ila kwa Tz tulioijua zamani habari za Gwanda kupotezwa baada ya kuhoji mauaji ya watu 40 wasio na hatia sio jambo la kawaida. Utakuwa umerogwa maanake naona unafurahia sana watz wenzako wakiuwawa na kupotezwa na vitengo vya usalama. Huo ni umbumbumbu wa hali ya juu. Hakuna siku ambayo nimeunga au nitaunga mkono uhuni kama huo unapofanywa dhidi ya wakenya wenzangu, au raia yeyote yule wa kawaida hata awe sio mkenya. Kama hujanielewa, kwa ufupi namaanisha, f#ck the police!
Hebu tuonyeshe alipo hoji hayo mauaji ya watu 40.
 
Hakuna mtu anayefurahia unyama kama huo, wasiwasi wangu ni kuhusu Mkenya kushughulika na watanzania wachache waliopotea wakati kuna hundreds of thousands of Kenyans wanaopotea na kuuliwa na vyombo vya usalama wa serikali ya Kenya na hakuna hata zozote zinazochukuliwa. Hivi mkenya anapata wapi nguvu ya kuuliza kuhusu watu wanne au watano waliopotea Tanzania na asishughulike na mamia na maelfu ya wakenya huko Pwani wanaouliwa na kutoweka kila Leo?

Wewe una kichaa mtu punda. Unasema watanzania wachache waliopotea? Hata mwanza nia mmoja aliyepotea ni gharama kubwa sana kwa nchi ya Tanzania sembuse hiyo halaika mnayowaua na kuwaficha. Maovu yatemea tu siku mmoja mchana
 
Mtu anapotezwa kwa kuumbua mauaji ya watu 40 alafu wewe hapo unasema ni watu wachache? Huu ushetani wako ni kwasababu tu ya sahani moja ya wali maharage, t-shirt moja na kofia? [emoji15]
 
Mtu mpumbavu huwa anazima moto unaoteketeza shamba la jirani lakini hashughuliki na NYUMBA yake inayoungua. Matukio ya kupotea watu Tanzania, hayafiki hata 1% ya matukio kama hayo huko kwenu, ni mtu mwendawazimu pekee atakayeshughulika na 1% na kuacha 100%.

Badala ya kuja kujifunza ni kwajinsi gani Tanzania tunaishi kwa Amani hadi tukashika namba 51 duniani, eti mtu aliyeshika namba 123 anajaribu kumshangaa na kumkosoa yule wa 51, kama sio ukichaa huo ninini?
 
Vipi kuhusu viongozi wa dini wanaouliwa kwasababu ya kutetea mamia ya watu walipuliwa na POLISI kwa misingi ya ukabila wakati wa uchaguzi?
 
Mtu mpumbavu huwa anazima moto unaoteketeza shamba la jirani lakini hashughuliki na NYUMBA yake inayoungua. Matukio ya kupotea watu Tanzania, hayafiki hata 1% ya matukio kama hayo huko kwenu, ni mtu mwendawazimu pekee atakayeshughulika na 1% na kuacha 100%.

Badala ya kuja kujifunza ni kwajinsi gani Tanzania tunaishi kwa Amani hadi tukashika namba 51 duniani, eti mtu aliyeshika namba 123 anajaribu kumshangaa na kumkosoa yule wa 51, kama sio ukichaa huo ninini?

Wewe ni fala tu hakuna kitu unajua hapa. Produce Azory Gwanda and open a case to Kibiti massacre
 
Wewe njoo na ugaidi wako Tanzania au njoo uhoji jinsi vyombo vya usalama vinavyokabiliana na magaidi kama na wewe hujawafuata hao magaidi wenzio unaowakingia kifua

Huyo azory hakuona magaidi walivyokua wakichinja watu na police kibiti, aliona magaidi wanaouwawa sasa aende akawahoji magaidi vizuri
 
See, We have someone with evidence here. So where is Azory
 
wacha uongo joto la jiwe...pwani watu wanatoweka kila leo..unaumwa nn?we kubali tu jiwe hataki kupingwa..
 
km ni msando si alipatikana...lkn kibarua ni hyo gwanda....sidhani km ataonekana tena...tundu lissu tu kaponea..wachezea jiwe wewe
 
Chris Msando alipatikana?, wewe kweli ni a person made in failed state.
 
Kenya inaongoza Africa "in police killings", hiyo ndio sifa yenu, ona sasa mnajisifia kwa kuuwa watu eti bora miili yao imepatikana lakini hakuna hatua zozote za uchunguzi.
 
Wewe njoo na ugaidi wako Tanzania au njoo uhoji jinsi vyombo vya usalama vinavyokabiliana na magaidi kama na wewe hujawafuata hao magaidi wenzio unaowakingia kifua

Huyo azory hakuona magaidi walivyokua wakichinja watu na police kibiti, aliona magaidi wanaouwawa sasa aende akawahoji magaidi vizuri
Mkuu,

Naona vijana wanapenda sana kuingiza pua kwenye mambo muhimu sana ya usalama wa nchi.

Stability na Amani ya Tanzania haipatikani kwa kubinua pua, kuna watu wako kazini usiku na mchana kwa ajili ya kuhakikisha usalama wa wote.

Kibiti(located jst few kms from Dar) ilikua tayari a hotbed ya terrorists tryn hard to destroy our nation peace, wajinga hawataki kukubali hilo.

Baada ya kushughulikiwa wakakimbilia nothern Mozambique ndio wakaanza kupewa attention eti kuwa ni terrorists waliotoka TZ.

Mashabiki wa hii habari ni wale walizoea kuishi ktk nchi zinazosumbuliwa na terrorists kila siku mpaka imekuwa ni oder of the day..

Our nation cultural and social fabric is very complex mambo Kama ya Kibiti yakiachiwa ku-replicate in other parts of the country eneo lote la EAC, Great Lakes na SADC litaharbikiwa kwa kasi Falcon X.

Ndio maana ulileta pua zako ktk mambo nyeti ya usalama wetu ni lazima tule sahani moja na wewe hata ukiwa nani.

Sent zangu 2.
 
Back
Top Bottom