Where Is Ontario?

Singidan

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
881
Reaction score
942
Habari waungwana! I hope wote mpo salama!

Ni muda sasa takribani miezi 10 member ONTARIO haonekani tens humu!!! Nimefuatilia nimegundua Last seen ni January 13 2018.


Mwenye kufahamu acc mpya atusaidie au aina nyingine ya mawasiliano maaana hata FB siku hizi haonekani kabisa!!
 

Jan 13, 2018 mpaka leo Aug 31, 2018 ni miezi 10?
 
Atakuwa amekwenda Ottawa, ONTARIO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi utakuwa hujuwi dhana ya neno Takribani

Kwenye uandishi, kama una tar kamili na ukaiandika hutakiwi kuweka makadilio.

i.e Ungetakiwa utumie hiyo takribani pekee, au ungesema hajaonekana toka tar fulani bila kuweka takribani.

Na kama unavitumia vyote approx lazima iwe around. Kwa sababu hapo ni tofauti ya miezi 8 na siku 18, kwa hiyo ni around 8 or 9 and not 10.

Good day.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…