Where Is Ontario?

Where Is Ontario?

Hahahhhh!!! Naona sasa kila acc itahisiwa in yeye!!! Kwa kweli kama kuna watu wamelizwa ametuponza!!! Hatuaminiki tena!!! Yaani MTU akianzisha Uzi wa mambo ya utafutaji pesa tayari ushakuwa Sirjeff
Wa pale Jangid Plaza😛
 
Kajamaa kadogo kadogo tu , kenye elimu LAKINI KAKALIZA MAJAMAA MABAUNSA YENYE MINDEVU NA MITUMBO MIKUBWA NA UMRI MKUBWA [emoji23][emoji23][emoji23]

Kaaaaaaaaaaazi kwelikweli..Mjini Shule mazeee

*I shall kindly Knee to leave my Pride*
Hahahaaaa yaani bwana mdogo wa 95' kawaangiza mkenge watu na mitumbo yao 😀😀😀😀.
 
Kajamaa kadogo kadogo tu , kenye elimu LAKINI KAKALIZA MAJAMAA MABAUNSA YENYE MINDEVU NA MITUMBO MIKUBWA NA UMRI MKUBWA [emoji23][emoji23][emoji23]

Kaaaaaaaaaaazi kwelikweli..Mjini Shule mazeee

*I shall kindly Knee to leave my Pride*
Mkuu acha kunichekesha asee nimecheka balaa kajamaa kadogo kameliza mibaunsa[emoji16] [emoji16] [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari waungwana!!! I hope wote mpo salama!!!

Ni muda sasa takribani miezi 10 member ONTARIO haonekani tens humu!!! Nimefuatilia nimegundua Last seen ni January 13 2018.

Mwenye kufahamu acc mpya atusaidie au aina nyingine ya mawasiliano maaana hata FB siku hizi haonekani kabisa!!
Tupo nae Insta anatupa chakula cha ubongo daily cku izi ni Motivational speaker anaongeaga facts tu
Screenshot_2018-09-01-07-56-14.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom