TV unayouziwa dukani 2 million , ujue jamaa amekupiga zaidi ya 500-700K , Ila Kwa Ontario imekuwa nongwa , kama watawala wanatupiga, mtu anakwapua billion 1, billion 100 mchana kweupe.....unaanzaje kumuonea wivu kijana anayepambana kama Ontario, Forex inajulikana world wide na watu Weng wamefanikiwa wengine wameangukia pua, Ontario kafanikiwa Kwa level yake na huwez jua amepoteza pesa Kias gan mpak kufika hapo alipo, na istoshe ana mishe nyingi japo ya Forex ndo imempa umaarufu ...
Mi binafs nimefaidika na kumfahamu Ontario , sio katika Forex mana sijawahi hata kutrade na sina mpango na wala mafunzo sijapata kokote Ila katika post zake insta huwa nazichukulia positive Sana na psychological zilinipa ujasr wa ajabu Sana wa uthubutu na sasa matunda nayaona....!!