Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,637
Ingawa kucheka ni kati ya vitu nadra kwangu, lakini wewe jamaa sijawahi kusoma comments zako bila kucheka.Watu walitapeliwa na mtu mwembamba hivi?
Ndani ya uzi huo huo wenye promo kulikua na posts nyingi zenye maonyo lakini hamkuzijali, mkazi puuza na kuzikandia sana. JF waliwapeni uhuru nanyi mkautumia.
Ni kweli mkuu... ukisoma hii thread utagundua wtz wengi ni wajinga mno....inatisha na kusikitisha sanakuna mambo fulani huwezi kujifunza kama usipokubali kuwa yakupasa kujifunza. Iwe aliwapiga au mlijipiga wenyewe kwa uzembe wenu still jamaa kaonyesha ana uwezo mkubwa sana wa kuifiikirisha akili yake katika kutafuta mkwanja. Na kilichowapata wengi humu ndani ni kielelezo tu cha ukomo wenu wa kufikiri. Naendelea kujifunza kupitia hustle zake, kama ni kweli aliwapiga basi jiandaeni kupigwa nitakapohitimu.
Mimi nilimuona ni tapeli kabla hata haja introduce hiyo trade yake sijui. Kupitia maandishi yake nilishagundua jamaa anaokota kuni muda si mrefu kuna msosi anaenda kuwapikia watu.kuna mambo fulani huwezi kujifunza kama usipokubali kuwa yakupasa kujifunza. Iwe aliwapiga au mlijipiga wenyewe kwa uzembe wenu still jamaa kaonyesha ana uwezo mkubwa sana wa kuifiikirisha akili yake katika kutafuta mkwanja. Na kilichowapata wengi humu ndani ni kielelezo tu cha ukomo wenu wa kufikiri. Naendelea kujifunza kupitia hustle zake, kama ni kweli aliwapiga basi jiandaeni kupigwa nitakapohitimu.
Sir Jeff Kapita ππππ.Ni kweli mkuu... ukisoma hii thread utagundua wtz wengi ni wajinga mno....inatisha na kusikitisha sana
Hahaaa haaFOREX TRADW: BIASHARA AMBAYO HAKUNA BANK ITATAKA UIJUE
kama nimekosea kichwa cha uzi mnisamehe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeahh tuliwaonya sana ...wakawa wana tutusi mnoo ..Ndani ya uzi huo huo wenye promo kulikua na posts nyingi zenye maonyo lakini hamkuzijali, mkazi puuza na kuzikandia sana. JF waliwapeni uhuru nanyi mkautumia.
πππππππjamani hii komenti ndo naiona Leo!we rrondo weweeKuna mwanamke asiemkubali mwanaume mwenye visenti?
Forex is not for anyone it is for you!FOREX TRADW: BIASHARA AMBAYO HAKUNA BANK ITATAKA UIJUE
kama nimekosea kichwa cha uzi mnisamehe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
link gani tena mkuu wakati nimeangalia kwenye tv (star tv )
Hatari aseekuna mambo fulani huwezi kujifunza kama usipokubali kuwa yakupasa kujifunza. Iwe aliwapiga au mlijipiga wenyewe kwa uzembe wenu still jamaa kaonyesha ana uwezo mkubwa sana wa kuifiikirisha akili yake katika kutafuta mkwanja. Na kilichowapata wengi humu ndani ni kielelezo tu cha ukomo wenu wa kufikiri. Naendelea kujifunza kupitia hustle zake, kama ni kweli aliwapiga basi jiandaeni kupigwa nitakapohitimu.
HahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaKama ndo haka basis heshima ziende kwake,kiwanda sio lazima ujenge likitu likubwaaa hats huyu ni kiwanda Tayari,safi sana kijana kwa kutumia kichwa chako vizuri kujipatia maisha bora,sasa achana na hiyo kazi Fanya kazi halali,Tengeneza kipato halali ,saidia wasiojiweza,lipa kodi,Mungu atakuelewa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatumia jina ganiMbona IG kajaa tele kwa siku anarusha hata picha 5 na mgazeti wa maana kusindikizia captions zake!...
Sent using Jamii Forums mobile app