Where Is Ontario?

Asante kwa shule
 
Kuna dogo huku amenasa kwenye Forex hatari hatari

Sasa ameanzisha na kidarasa

Kila nikimhoji mafanikio yake anarukaruka tu, anadai pesa ipo cha ajabu hata buku ya maji tukiwa mazoezini sometimes anahongea.


Hiyo kawaida kinachonistaajabisha watu walioingia kwenye Forex hawang'oleki bwana

Utaongea yote lakini haelewi, nilichogundua kuna imani kali wanapandikizwa kama ya dini

Maana mtu wa dini hata useme huyo nabii anawapiga utajisumbua tu

Sipingani nae kama kweli hela ipo naweza kujiunga lakini hawanaga uthibitisho wowote wa mafanikio

Ni watu wanaotaka uamini tu, yaani we amini ipo siku utatoboa

Nikamtajia Ontario na stori za kuwapiga watu hakutaka kunisikia anakwambia kila mmoja na anavyoamini mimi simfahamu mtu huyo
 
Kuna jamaa wa FOREX alitamba sana kipindi cha nyuma, kama sikosei walimuita Ontario au jina lingine(naomba nikumbushe)
Alipata wafuasi sana,nataka kujua mwisho wao 2013-2015
 

Nakumbuka PM aliwahi watangaza matapeli waliokuja kununua korosho za Mwendazake kule Mtwara.
 
Ontario
Your browser is not able to display this video.
 
TV unayouziwa dukani 2 million , ujue jamaa amekupiga zaidi ya 500-700K , Ila Kwa Ontario imekuwa nongwa , kama watawala wanatupiga, mtu anakwapua billion 1, billion 100 mchana kweupe.....unaanzaje kumuonea wivu kijana anayepambana kama Ontario, Forex inajulikana world wide na watu Weng wamefanikiwa wengine wameangukia pua, Ontario kafanikiwa Kwa level yake na huwez jua amepoteza pesa Kias gan mpak kufika hapo alipo, na istoshe ana mishe nyingi japo ya Forex ndo imempa umaarufu ...

Mi binafs nimefaidika na kumfahamu Ontario , sio katika Forex mana sijawahi hata kutrade na sina mpango na wala mafunzo sijapata kokote Ila katika post zake insta huwa nazichukulia positive Sana na psychological zilinipa ujasr wa ajabu Sana wa uthubutu na sasa matunda nayaona....!!
 
Shark of the ocean vibua kaa mbali na Sasa tunapindua meza kibabe haka ka bwana kwa kuupepeta tu mdomo hakajambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…