Where is SGR? 2 years delays? infrastructures?

Pole sana mkuu,naona umeumiasana hauko pekeako wengi tunaumizwa sana nautendaji mbovu wa serikaliyetu.

Kuanzia Dodoma kuja dar ni shida tupu ukifika Moro kuja dar ndio kabisa.

Africa tunaumizwa na ubinafsi wa viongozi wetu lakini iposiku.

Yani unasotanjiani masaa 13 kwa foleni unakuja kupata nafuu ukifika maeli Moja kibaha mpaka kimara mwisho.
Unajiuliza tuliwezaje kujenga barabara pana kama hii na nini kinacho tushinda kuendeleza barabara kama hii japo mpaka chalinze.
 
Hili SGR ikifunguliwa na treni za umeme ndani ya miaka 20 kuanzia leo yaani 2043, niite mbwa nimekaa pale.Nota Bene: hata Magufuli angekuwepo bado isingefunguliwa. Hili siasa ilikuwa mingi kuliko ukweli.
 
SGE hata haileweki kabisa mradi kama umeisha ila Kuanza hautaki Kuanza, tunakuwa suprised na Kina Abood na Shabiby Kuendelea kuagiza mabus
 
Kwani ulikuwa promised kuipata hiyo SGR ndani ya muda gani??

Na hizo shida unazozisema sasa si ndizo zile kipindi Cha mwendazake mlikuwa mna sema Mzee vyuma vimekaza? kwanin mnakuwa wasahaulifu mapema hivyo
 
Mkumbe mnashida hivyo wabongo

"Dipi Woldi"
 
Attachments

  • IMG_20230823_174243.jpg
    58.9 KB · Views: 2
Kuna uzi upo humu jamaa alisema kbs 15 yrs bila shaka ndo chuma hiyo utakamiklika. Sasa nadhani ni 8yrs [emoji3]
 
SGR pia itakuwa imeuzqa
Mnyonge mnyongeni, ila haki yake mpeni, mnawaonea sana serikali maana Kuna sekta nyingi sana wamefanikiwa, mfano sekta ya mikutano, upigaji, rushwa, kusafirisafiri mbona wanafanya vizuri. Si uwapongeze, sio vizuri. Wapongezeni wanapopatia.
Pia wamefanikiwa kuuza Ngorongoro na bandari. Wamefanikiwa sana
 
Kwani ulikuwa promised kuipata hiyo SGR ndani ya muda gani??

Na hizo shida unazozisema sasa si ndizo zile kipindi Cha mwendazake mlikuwa mna sema Mzee vyuma vimekaza? kwanin mnakuwa wasahaulifu mapema hivyo
Yaani hawaeleweki....

Hawaeleweki hata KIDOGO...[emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mnyonge mnyongeni, ila haki yake mpeni, mnawaonea sana serikali maana Kuna sekta nyingi sana wamefanikiwa, mfano sekta ya mikutano, upigaji, rushwa, kusafirisafiri mbona wanafanya vizuri. Si uwapongeze, sio vizuri. Wapongezeni wanapopatia.
[emoji23] [emoji1787] [emoji38]
 
Uzembe wa viongozi wetu wanaacha kujadili mambo ya maana kama haya bungeni waanza kusifia mipira usimba na Uyanga this is rubbish.
Ndugu yangu, Tz watu wamepotezwa akili kufikiria mambo ya muhimu ya mu stakabali , changamoto/utatuzi na maendeleo yenye tija kuhusu nchi yao ,lakini badala yake wameishia kujazwa upofu wa kuishia kuendelea kujadili, mambo sijui ya bongomusic, kubet, Simba/Yanga, nk. kila kukicha...... kaazi kwelikweli.
 
Mnyonge mnyongeni, ila haki yake mpeni, mnawaonea sana serikali maana Kuna sekta nyingi sana wamefanikiwa, mfano sekta ya mikutano, upigaji, rushwa, kusafirisafiri mbona wanafanya vizuri. Si uwapongeze, sio vizuri. Wapongezeni wanapopatia.
Kababake![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Magufuri mlisema anapenda mavitu SASA wamekuja watu wasiopenda maendeleo ya vitu
 
Tulia sasa hivi utaona vitu vinatua toka Korea baada ya sheria mpya ya manunizi kupita, japo vitakuwa na kutu lakini si haba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…