Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,593
- 6,754
Pole sana mkuu,naona umeumiasana hauko pekeako wengi tunaumizwa sana nautendaji mbovu wa serikaliyetu.It’s 2023 , we have not progress kabisa In infrastructures . Leo kutoka Dodoma Dar ni shida . No buses no nothing .
Yani natumia 12 hrs kwa bus . Kweli ? When. Will people work . Serikali hii vipi ? Wana fanya nini sasa ? Au wengine Huko kuna kitu wanafanya ? [emoji706][emoji706][emoji706]
Maji shida ? umeme shida ? Usafiri shida ? Maisha Shida ? services mbovu ? Useless useless government
Serikali hii nini sasa kipo Sawa ? Tuambiane ??
Kuanzia Dodoma kuja dar ni shida tupu ukifika Moro kuja dar ndio kabisa.
Africa tunaumizwa na ubinafsi wa viongozi wetu lakini iposiku.
Yani unasotanjiani masaa 13 kwa foleni unakuja kupata nafuu ukifika maeli Moja kibaha mpaka kimara mwisho.
Unajiuliza tuliwezaje kujenga barabara pana kama hii na nini kinacho tushinda kuendeleza barabara kama hii japo mpaka chalinze.