Which country has best intelligency agency

Mod toa hii! Inatafuta nini huku kwenye TECH
 
mossad, cia then mi6.., huwezi kuwa-rank isi kama namba moja, hizo data tulishawaambia kwny ile thread ya kule kwamba inategemea research yao hao waandaa data ilikua na lengo gani, lakn kwa facts.., isi haiwezi kuwa namba moja..,

Intel failure ya kujua osama alikua kwao hadi cia wakafahamu, then wakafanya daring mission ya kuingia deep inside ya pakistan without detection,,

Kwa maana nyingine cia wana-intercept communication yote ya isi na military yao kwa sbb wasingejiaminisha kuingiza makomandoo wao that deep.., cia wana rendition programmes all over europe na in some countries in asia,

kwa upande wa mossad, wamefanya daring missions nyingi tu, kuanzia yam kippur war huko nyuma, assasinations ya waliohusika na munich massacre, operation thunderbolt, assasination dubai, assasinations of nuclear scientists inside tehran, remember, hizi assasinations zinahitaji valuable,precise and sufficient intel about targets, wanaweza fanya surveillance for up to years to get their targets infiltration of their agents within cia, son of hamas, just to name a few

waingereza..., ni outstanding kwny military intel, they have a programme called polaris..., hivi vitu ni facts na vinajulikana

Sasa kwa wanaosema isi,, lets debate, watoe mifano ya kazi zao ambazo zinajulikana
 
Thread kama hii ipo International Forum, Inasemekana shilika la ujasusi la Pakistan ndio bora...

Huna hata haya wala hujui vibaya? ni "shirika" sio kama ulivyoandika.
 
It is very good question, countries are generally unwilling to divulge how large the intelligence operations are, so getting a true answer is at most a best guess so for me i would go for Israel...THE MOSSAD.
 
Nadhani tatizo wengi tunaochaangalia na kulinganisha na ni tatizo hata serikali zetu maskini za afrika ni kujkita na kuweka kuweka priority kwenye military na defence intelligency tu .

Lakini kwa mahitaji ya dunia ya sasa inteigengy muhimu ni
  • econmicmic intellingency- Hapa China kawapiga bao. Mashirika kama IMF na WB ni Kama economic intelligency machinery ya developed word. China hafuati masharti ya IMF naWB .Na part ya success story ya china inatokana na kuwa na economic intelligency yao. kwa manufaaya wachina wao wenyewe. Upande mwingine mtikisiko wa kiuchumi ulionesha intelligency ya kiuchumi ina udhaifu kwenye mataifa mengi makubwa kama ilvyo kwa vinchi vyetu


  • Technlogical inteligency-china pia anakuja kasi . japo China hana watalaam kamawa USA na mataifa makubwa lakini ana uwezo wa kuiba teknolojia ambazo watu wamefanyia research tayari . Tumesikia mara nyingi china wanalipia pesa kibao kununua mabaki ya vifaa vya kijeshi na ndege za kivita za USA zinazonaguka vitani.

baada ya hizo mbili sasa ndio inakuja intelligency amabayo watu wengi tunasifia(ya kijeshi na Uinzi) kama za USA,UK, RUSSIA ,ISRAEL.

Na kuwa best agency inategema na VISIONau Principal yake imewekaka vipaumbele gani katika SWOT(Strenght Wekness Opportnites Threat) la taifa Husika .SWOT za MOSSAD ni tofauti na SWOT za CIA au KGB. Unawezau kuta MOSSAD wana utaaam mubwa zaidi wa kukomboa mateka Wengne wana utaalaam mpaka wa kuturubuni buni tununue Boeing na sio Airbus na wengine wana utaalam wa kutengeza silaha wakati wengine wana utaalam wa kuiba teknolojia
 

unaweza ukawa na point lakini jifunze kuwasilisha hoja mkuu!!!! maneno kwenye RED sijakusoma kabisa, tafuta mwalimu akufundishe tena kuandika ndio uje kutoa hoja mkuu.
 
unaweza ukawa na point lakini jifunze kuwasilisha hoja mkuu!!!! maneno kwenye RED sijakusoma kabisa, tafuta mwalimu akufundishe tena kuandika ndio uje kutoa hoja mkuu.

Mkuu mbona una akili fupi kama kina Nepi wa ccm, just know the content, mambo ya "Spelling check" tulishaachaga madarasani... Gamba mkubwa wewe...
 
CIA hands down. The Israelis ain't got nothing on the good 'ol USA. As a matter of fact, the Israelis are way overrated. Another matter of fact, Israel is the world's largest recipient of US military aid. Who will dispute that?

There goes Mr America.You won its true CIA and i think they are invincible when it comes to national security.Hivi how are they interconnected with secret service? Manaake kimovie-movie huwa sielewi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…