Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,333
- 7,879
Mkuu Kaveli mimi nahitaji hiyo movie ntaipataje?Mission ni nyingi...lakini ni za siri,ukitaka kujua wanavyooparate,tafuta movie ya Angelina Jolie ambayo ni true story inayoitwa A MIGHTY HEART uone jamaa mambo yao....
Naomba maelekezo...
Alafu hizo intelligence agencies huwa kigezo kikubwa ni pamoja na resources je kuna yoyote mwenye kumzidi resource CIA?