ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Kuna ile operation MOSSAD walifanya kwenye ile hotel kubwa hapo dubai ilikua ni moja ya my favourite Mission
Ndio kwa kutumia passports za australia hahahahhahahah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ile operation MOSSAD walifanya kwenye ile hotel kubwa hapo dubai ilikua ni moja ya my favourite Mission
Tunatofautisha mtu mmoja na mwingine kutokana na maarifa na sio umri,nadhani sijafanya vibaya kukupa maarifa ya namna ya spelling na matumizi ya r na l.Watoto wadogo na wenye akili ndogo hufikiria kukosoa kasoro ndogo lkn watu wakubwa wenye akili kubwa hufikiria kuleta majawabu ya mambo makubwa.wakati mtoto anaona yupo sahihi kurekebisha kosa dogo kwe gari la udongo la mwenzake,MTU wa akili kubwa anaona si busara kushindama na ukosoaji huo badala yake anajishughulisha na hoja za sawa na umri wake.hongera kwa ukosoaji wako maana ndo ulio sawa kwa umri na akili yako.
Wakubwa wenzangu wanajua
Hio nazi hunters ngoja niitafute mkuu, hao jamaa kwa operation zao hakuna mtu duniani wakiamua kumsaka wanamkosa mkuuUpo vizuri mkuu pia kuna.documentary inaitwa nazi hunters,unaeza kuona mosad ilivo kiboko
Ngoja na mimi niitafute mkuu. So far nimeshuhudia operation nying za mossad and my favorite ni operation orchard, thunderbolt(entebe), na opera. Jamaa wamebarikiwa sio siri. They are the chosen ones.Hio nazi hunters ngoja niitafute mkuu, hao jamaa kwa operation zao hakuna mtu duniani wakiamua kumsaka wanamkosa mkuu
Sidhana kama hawa "KGB" bado wapo mpaka sasa.eti wakuu kati ya KGB,CIA,MOSSAD,MI6 NANYINGINEZO Ipi inaongoza kwa mambo ya intelejensia? napenda kuwasilisha
Kaka usalama nawapigia saluti mbaya yaani tuna amani mpaka tunajisahau. Huko mipakani pako poa hatusikii shida wala kero yoyote nawakubali sana maana ndo shirika la kijasusi ambalo kazi yake naiona na ninautambua mimi kama mtanzania.UWT = Usalama wa Taifa.
Only in Tz, by the way.Tanzania inaongoza kua
Na intelijinsia, kama ile tekniki ya kung'oa wahalifu meno bila kutumia ganzi au dawa za kutunza maumivu.
Hakuna kitu kama KGB siku hizi. So unashindanisha CIA, MOSSAD na MI6. Unashindanisha Pan, Yanga na Simba. All the best.
Ukisema hivyo basi China ndio the best. Majasusi wa China walishawahi kuisachi cia mpaka Bush akaamuru ifanyike reformation. Baadaye wakatuma ndege ya jipelelezi isioonekana ikagongwa na mig 16 wakati marubani wa kichina wakiilazimisha kutua.katika nchi ambazo cia waliiba data ni pamoja na israel,sasa mtasemaje leo ina best inteligent
Jamaaa kaongea anayofahamu na kaja na facts zake ni kwanini USA ni koloni la IsraelHakuna kitu bana. Israel iko overrated sana. Kamwe Israel haiifikii Marekani katika chochote kile.
Eti Amerika ni koloni la Israel....hata haya hamna nyie? Yaani kweli unadiriki kusema Amerika ni koloni la Israel?
Wewe huna akili kabisa!
Eti wakuu kati ya KGB, CIA, MOSSAD, MI6 nanyinginyezo ipi inaongoza kwa mambo ya Intelijensia?
Napenda kuwasilisha.
SASA nawewe mbona umetumia kingereza huoni kuwa bado utumwa huoUnatumia Internet, Boeing, Whatsup Facebook, google, yahoo, bing, twitter and on top of that unaomba data CIA, unategemea budget Ya almost 20 billion usd kila mwaka, your PM is summoned to report to the potus at 1600 Pennsylvania Avenue as required yet you have the nerve and audacity to claim Mossad is the best in business! Are u kidding me!!
Go learn from The Farm in Langley
Cc Nyani Ngabu
Kijana angalia facebook , google etc zinamilikiwa na watu wenye asili ya israel au wayahudi.SASA nawewe mbona umetumia kingereza huoni kuwa bado utumwa huo
nawakubali sana hawa watu Israel,........ni maginiasi hakuna duniani mkuu,..Kijana angalia facebook , google etc zinamilikiwa na watu wenye asili ya israel au wayahudi.