Which country has best intelligency agency

Which country has best intelligency agency

mossad wanatumia sana taarifa za kiinteligensia za cia, cia ina operate kidunia hao wengine kuna mchangiaji mmoja wamejikita kikanda
 
mossad wanatumia sana taarifa za kiinteligensia za cia, cia ina operate kidunia hao wengine kuna mchangiaji mmoja wamejikita kikanda
nani kakwambia Mossad hawa operate dunia nzima ?

Au hadi siku wafunge mitambo chumbani kwako bila wewe kujua ndio utaamini?

Mossad janga la dunia, hawaonekani, huwakamati, wanafanya wanacho taka na wanapita sehemu yoyote iwe system, uwe mpaka, liwe gate la jeshi, iwe ikulu .

Hata obama anwaogopa
 
Eti wakuu kati ya KGB, CIA, MOSSAD, MI6 nanyinginyezo ipi inaongoza kwa mambo ya Intelijensia?

Napenda kuwasilisha.
Hakuna cha MOSSAD wala CIA ...shirika la ujasusi la Pakistani ISI ndio bora Zaidi,haijawahi kushindwa kwenye mission yao wala kufanya blunder..kama kawaida wanataka kuipaisha CIA lakini kwa ISI itakaa sana
 
Thread kama hii ipo International Forum, Inasemekana shilika la ujasusi la Pakistan ndio bora...
Nadhani lingekuwa bora lisingeshindwa kujua operesheni ya SEAL kumwua Osama ndani ya nchi yao
 
mossad, cia then mi6.., huwezi kuwa-rank isi kama namba moja, hizo data tulishawaambia kwny ile thread ya kule kwamba inategemea research yao hao waandaa data ilikua na lengo gani, lakn kwa facts.., isi haiwezi kuwa namba moja..,

Intel failure ya kujua osama alikua kwao hadi cia wakafahamu, then wakafanya daring mission ya kuingia deep inside ya pakistan without detection,,

Kwa maana nyingine cia wana-intercept communication yote ya isi na military yao kwa sbb wasingejiaminisha kuingiza makomandoo wao that deep.., cia wana rendition programmes all over europe na in some countries in asia,

kwa upande wa mossad, wamefanya daring missions nyingi tu, kuanzia yam kippur war huko nyuma, assasinations ya waliohusika na munich massacre, operation thunderbolt, assasination dubai, assasinations of nuclear scientists inside tehran, remember, hizi assasinations zinahitaji valuable,precise and sufficient intel about targets, wanaweza fanya surveillance for up to years to get their targets infiltration of their agents within cia, son of hamas, just to name a few

waingereza..., ni outstanding kwny military intel, they have a programme called polaris..., hivi vitu ni facts na vinajulikana

Sasa kwa wanaosema isi,, lets debate, watoe mifano ya kazi zao ambazo zinajulikana
Naungana nawe
 
MOSSAD ni habari ingine!! CIA wanalishwa news na MOSSAD.
 
Nadhani lingekuwa bora lisingeshindwa kujua operesheni ya SEAL kumwua Osama ndani ya nchi yao
Mbona CIA walishindwa kujua kuna ugaidi wa September 11 utafanyika nchini mwao na kuua watu mamia,achilia mbali huyo mtu mmoja Osama?
 
Mission ni nyingi...lakini ni za siri,ukitaka kujua wanavyooparate,tafuta movie ya Angelina Jolie ambayo ni true story inayoitwa A MIGHTY HEART uone jamaa mambo yao....
Kila agency imefanya mission zake, isis huwezi linganisha na mission za mossad
 
Kila agency imefanya mission zake, isis huwezi linganisha na mission za mossad
Kama ndio hivyo MOSSAD ange rank juu ya ISI...acha ubishi mkuu angalia top ten ya intelligent angents utaona nani yuko juu...usitake kulazimisha list yako unayotaka wewe
 
Kama ndio hivyo MOSSAD ange rank juu ya ISI...acha ubishi mkuu angalia top ten ya intelligent angents utaona nani yuko juu...usitake kulazimisha list yako unayotaka wewe
nani kasema isis ipo juu ya mossad?
acha vichekesho?
 
nani kasema isis ipo juu ya mossad?
acha vichekesho?
ISIS ndio nini...ninabishania na mtu mambo ya intelligence wakati yeye sio intelligent....ISIS unayong'ang'ania ni kundi la kigaidi..na mimi naongelea ISI shirika la kiintelijensia la Pakistani. Angalia hizi website ndo ujue mimi sio kilaza kama wewe...unatakiwa uende kwenye majukwaa yenu ya chit chat huko mkaongee udaku.Ya kwanza ni (10 most powerful intelligent agency in the world)...na nyingine ni (The world's best intelligence agencies)...uone nani mwanaume.
 
sawa nimekosea najua unaongelea intelligency agency ya pakstan (ISI), ninacho tofautiana na wewe ni pale unapo soma hizo website zako na ku conclude kuwa ISI ni bora kuliko mossad. ungewauliza hao ISI wanaionaje Mossad au waulize CIA watakueleza kuhusu Mossad, mwisho waulize waarabu wote including Pakstan watakwambia Mossad ni mnyama gani?
 
Usiongee maneno matupu..weka source hapa tuone...usilete maneno ya kijiweni,kwani walioandika hiyo orodha hawaijui MOSSAD?WEKA SOURCE ACHA MANENO MINGI...
 
Hebu wekeni walau mission 3 za Mossad na ISI tupime ipi ilikuwa bora kati ya hizo mission na sio mnalumbana kwa kusema huyu bora na yule si bora
 
Hakuna cha MOSSAD wala CIA ...shirika la ujasusi la Pakistani ISI ndio bora Zaidi,haijawahi kushindwa kwenye mission yao wala kufanya blunder..kama kawaida wanataka kuipaisha CIA lakini kwa ISI itakaa sana

Ni operation gani kubwa imewahi kufanywa na hao Pakistan (ISI), operation za Israel nyingi zinafahamika, za Pakistan ni zipi chief? Afu Pakistan hii hii ambayo Osama alikuja kuuwawa na wa marekani wao hawakujua chochote, wanakuja kushtuka wanaume wameshaondoka Pakistan.
 
Nadhani lingekuwa bora lisingeshindwa kujua operesheni ya SEAL kumwua Osama ndani ya nchi yao
Hakuna kitu walichokuwa hawakijui usipotoshwe. Kila mkakati walipanga, hio ilikuwa changa la macho kuepuka mashambulizi na ulipaji kisasa kwenye ardhi ya Pakistan dhidi ya AL queda
 
Wasikie tu MOSSAD.Marekani sio wajinga kuwakumbatia hawa watu.Na kwa kiasi kikubwa achievement kubwa ilofikiwa na CIA hivi sasa imechangiwa sana na hawahawa ma-Jews
 
Back
Top Bottom