Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
mossad wanatumia sana taarifa za kiinteligensia za cia, cia ina operate kidunia hao wengine kuna mchangiaji mmoja wamejikita kikanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nani kakwambia Mossad hawa operate dunia nzima ?mossad wanatumia sana taarifa za kiinteligensia za cia, cia ina operate kidunia hao wengine kuna mchangiaji mmoja wamejikita kikanda
Hakuna cha MOSSAD wala CIA ...shirika la ujasusi la Pakistani ISI ndio bora Zaidi,haijawahi kushindwa kwenye mission yao wala kufanya blunder..kama kawaida wanataka kuipaisha CIA lakini kwa ISI itakaa sanaEti wakuu kati ya KGB, CIA, MOSSAD, MI6 nanyinginyezo ipi inaongoza kwa mambo ya Intelijensia?
Napenda kuwasilisha.
Nadhani lingekuwa bora lisingeshindwa kujua operesheni ya SEAL kumwua Osama ndani ya nchi yaoThread kama hii ipo International Forum, Inasemekana shilika la ujasusi la Pakistan ndio bora...
Naungana nawemossad, cia then mi6.., huwezi kuwa-rank isi kama namba moja, hizo data tulishawaambia kwny ile thread ya kule kwamba inategemea research yao hao waandaa data ilikua na lengo gani, lakn kwa facts.., isi haiwezi kuwa namba moja..,
Intel failure ya kujua osama alikua kwao hadi cia wakafahamu, then wakafanya daring mission ya kuingia deep inside ya pakistan without detection,,
Kwa maana nyingine cia wana-intercept communication yote ya isi na military yao kwa sbb wasingejiaminisha kuingiza makomandoo wao that deep.., cia wana rendition programmes all over europe na in some countries in asia,
kwa upande wa mossad, wamefanya daring missions nyingi tu, kuanzia yam kippur war huko nyuma, assasinations ya waliohusika na munich massacre, operation thunderbolt, assasination dubai, assasinations of nuclear scientists inside tehran, remember, hizi assasinations zinahitaji valuable,precise and sufficient intel about targets, wanaweza fanya surveillance for up to years to get their targets infiltration of their agents within cia, son of hamas, just to name a few
waingereza..., ni outstanding kwny military intel, they have a programme called polaris..., hivi vitu ni facts na vinajulikana
Sasa kwa wanaosema isi,, lets debate, watoe mifano ya kazi zao ambazo zinajulikana
Fuatilia kwanini wawe on top...u can just google itmission gani wamewahi kufanya?
Jero inatumika USA?
hahahaa..
hebu ongea uelimishwe kijana, pesa ya dafu mwisho zanzibar.
cc Nyani Ngabu kwa mwongozo zaidi wa currency ya +1
Mbona CIA walishindwa kujua kuna ugaidi wa September 11 utafanyika nchini mwao na kuua watu mamia,achilia mbali huyo mtu mmoja Osama?Nadhani lingekuwa bora lisingeshindwa kujua operesheni ya SEAL kumwua Osama ndani ya nchi yao
Mission ni nyingi...lakini ni za siri,ukitaka kujua wanavyooparate,tafuta movie ya Angelina Jolie ambayo ni true story inayoitwa A MIGHTY HEART uone jamaa mambo yao....mission gani wamewahi kufanya?
Kila agency imefanya mission zake, isis huwezi linganisha na mission za mossadMission ni nyingi...lakini ni za siri,ukitaka kujua wanavyooparate,tafuta movie ya Angelina Jolie ambayo ni true story inayoitwa A MIGHTY HEART uone jamaa mambo yao....
Kama ndio hivyo MOSSAD ange rank juu ya ISI...acha ubishi mkuu angalia top ten ya intelligent angents utaona nani yuko juu...usitake kulazimisha list yako unayotaka weweKila agency imefanya mission zake, isis huwezi linganisha na mission za mossad
nani kasema isis ipo juu ya mossad?Kama ndio hivyo MOSSAD ange rank juu ya ISI...acha ubishi mkuu angalia top ten ya intelligent angents utaona nani yuko juu...usitake kulazimisha list yako unayotaka wewe
ISIS ndio nini...ninabishania na mtu mambo ya intelligence wakati yeye sio intelligent....ISIS unayong'ang'ania ni kundi la kigaidi..na mimi naongelea ISI shirika la kiintelijensia la Pakistani. Angalia hizi website ndo ujue mimi sio kilaza kama wewe...unatakiwa uende kwenye majukwaa yenu ya chit chat huko mkaongee udaku.Ya kwanza ni (10 most powerful intelligent agency in the world)...na nyingine ni (The world's best intelligence agencies)...uone nani mwanaume.nani kasema isis ipo juu ya mossad?
acha vichekesho?
sawa nimekosea najua unaongelea intelligency agency ya pakstan (ISI), ninacho tofautiana na wewe ni pale unapo soma hizo website zako na ku conclude kuwa ISI ni bora kuliko mossad. ungewauliza hao ISI wanaionaje Mossad au waulize CIA watakueleza kuhusu Mossad, mwisho waulize waarabu wote including Pakstan watakwambia Mossad ni mnyama gani?ISIS ndio nini...ninabishania na mtu mambo ya intelligence wakati yeye sio intelligent....ISIS unayong'ang'ania ni kundi la kigaidi..na mimi naongelea ISI shirika la kiintelijensia la Pakistani. Angalia hizi website ndo ujue mimi sio kilaza kama wewe...unatakiwa uende kwenye majukwaa yenu ya chit chat huko mkaongee udaku.Ya kwanza ni (10 most powerful intelligent agency in the world)...na nyingine ni (The world's best intelligence agencies)...uone nani mwanaume.
Usiongee maneno matupu..weka source hapa tuone...usilete maneno ya kijiweni,kwani walioandika hiyo orodha hawaijui MOSSAD?WEKA SOURCE ACHA MANENO MINGI...sawa nimekosea najua unaongelea intelligency agency ya pakstan (ISI), ninacho tofautiana na wewe ni pale unapo soma hizo website zako na ku conclude kuwa ISI ni bora kuliko mossad. ungewauliza hao ISI wanaionaje Mossad au waulize CIA watakueleza kuhusu Mossad, mwisho waulize waarabu wote including Pakstan watakwambia Mossad ni mnyama gani?
Hakuna cha MOSSAD wala CIA ...shirika la ujasusi la Pakistani ISI ndio bora Zaidi,haijawahi kushindwa kwenye mission yao wala kufanya blunder..kama kawaida wanataka kuipaisha CIA lakini kwa ISI itakaa sana
Hakuna kitu walichokuwa hawakijui usipotoshwe. Kila mkakati walipanga, hio ilikuwa changa la macho kuepuka mashambulizi na ulipaji kisasa kwenye ardhi ya Pakistan dhidi ya AL quedaNadhani lingekuwa bora lisingeshindwa kujua operesheni ya SEAL kumwua Osama ndani ya nchi yao