donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Eti wakuu kati ya KGB, CIA, MOSSAD, MI6 nanyinginyezo ipi inaongoza kwa mambo ya Intelijensia?
Napenda kuwasilisha.
Napenda kuwasilisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
eti wakuu kati ya KGB,CIA,MOSSAD,MI6 NANYINGINEZO Ipi inaongoza kwa mambo ya intelejensia? napenda kuwasilisha
Mod toa hii! Inatafuta nini huku kwenye TECH
eti wakuu kati ya KGB,CIA,MOSSAD,MI6 NANYINGINEZO Ipi inaongoza kwa mambo ya intelejensia? napenda kuwasilisha
American made semi-auto assault rifle, lakn nadhani ni typing error, alimaanisha mi6unajua M16 ni kitu gani mkuu ??
Thread kama hii ipo International Forum, Inasemekana shilika la ujasusi la Pakistan ndio bora...
Tatizo nadhani haawengiwanachaangaianakulingani na hata serikali zetu maskinizaafrikazinawekeza ni kuweka priority kwenye military na defencei intelligency tu .
Lakini kwa mahitaji ya dunia ya sasa inteigengy muhimu ni
- econmicmic intellingency- Hapa China kawapiga bao. Mashirika kama IMF na WB ni Kama economic intelligency machinery ya developed word. China hafuati masharti ya IMF naWB .Na part ya success story ya china inatokana na kuwa na economic intelligencyyautambuahilo nzuri kwa manufaaya wachina wao wenyewe. Upande mwingine mtkisiko wa kiuchumi ulionesha intelligency ya kiuchumi ina udhaifu kwenye mataifa mengi makubwa kama ilvyo kwa vinchi vyetu
- Technlogical inteligency-china pia anakuja kasi . japo China hana watalaam kamawa USA na mataifa makubwa lakini ana uwezo wa kuiba teknolojia ambazo watu wamefanyia research tayari . Tumesikia mara nyingi china wanalipia pesa kibao kununua mabaki ya vifaa vya kijeshi na ndege za kivita za USA zinazonaguka vitani.
baada ya hizo mbili sasa ndio inakuja intelligency amabayo watu wengi tunasifia(ya kijeshi na Uinzi) kama za USA,UK, RUSSIA ,ISRAEL.
Na kuwa best agency inategema na VISIONau Principal yake imewekaka vipaumbele gani katika SWOT(Strenght Wekness Opportnites Threat) la taifa Husika .SWOT za MOSSAD ni tofauti na SWOT za CIA au KGB. Unawezau kuta MOSSAD wana utaaam mubwa zaidi wa kukomboa mateka Wengne wana utaalaam mpaka wa kuturubuni buni tununue Boeing na sio Airbus na wengine wana utaalam wa kutengeza silaha wakati wengine wana utaalam wa kuiba teknolojia
Huna hata haya wala hujui vibaya? ni "shirika" sio kama ulivyoandika.
unaweza ukawa na point lakini jifunze kuwasilisha hoja mkuu!!!! maneno kwenye RED sijakusoma kabisa, tafuta mwalimu akufundishe tena kuandika ndio uje kutoa hoja mkuu.
CIA hands down. The Israelis ain't got nothing on the good 'ol USA. As a matter of fact, the Israelis are way overrated. Another matter of fact, Israel is the world's largest recipient of US military aid. Who will dispute that?