Which engineering field has the best scope?

Joined
Apr 29, 2014
Posts
20
Reaction score
5
I'm planning to study engineering this year but I'm stuck between a rock and hard place.

Kwa sasa hivi ninaishi France lakini nina mpango wa kurudi Tanzania baada ya miaka 3-4 na nimeona njia ya kukabiliana na maisha ya nyumbani ni kusoma kozi ambayo ninaweza kujiajiri au kuajiriwa na nimehamua nitasomea Engineering kwa sababu it appeals to me the most and i have a passion for it.

I have done research on a range of engineering fields. I have looked at syllabus, subjects and talked to student course advisors and I'm intrigued by seven disciplines.


1) Mechanical engineer.
2) Electronic/electrical engineering.
3) Computer engineer
4) Software engineer
5) Computer science
6) Chemical engineer
7) Process engineer

Tatizo langu lipo kwenye "employment and business opportunies" baada ya graduate.Nimeondoka Tanzania muda mrefu kidogo, therefore I'm behind the curve na imenifanya nishindwe kudecided nikozi ipi ni jiunge nayo.

However, I'm leaning towards Mechanical engineering due to its broadness, to have wider opportunities.

I know,it doesn't sound good to start looking at "career/market scenarios" especially if you want to be engineer. But,
i have seen here (France), graduates kama wa computer science,some of them are confused after their plans didn't materialized. They are doing menial jobs such as stacking shelves in supermarkets.

I'm trying to avoid the same path but i'm aware the worst thing is to corner myself into something which i wont be happy with.

WAKUU, Ninaomba msaada ni kozi gani,nikichangia na jitihada zangu inaweza kunisaidi Tanzania baada ya miaka 3-4?


It's my first time to post here...

Merci beaucoup (Thank you very much).
 

I like the way you just present your ideas!! it sound good!! after few hours I'll be here to give my views concerning what you wrote....
 
if it were upon me, I would study chemical engineering.

Process & chemical engineering
Asante kwa mchango wenu! Tatizo la Chemical engineering nimeliona leo, kampuni zinazomilikiwa na wabongo kutokana na gharama sidhani kama wanaona kuna umuhimu wa kuajiri Chemical engineer( Nina weza kuwa wrong kwenye hili).

Na tatizo lingine nimegundua leo, One chemical engineer anaweza kutosha kwa factory nzima, hii ninaongelea big factory.Na vile vile, uchunguzi wangu kutoka nchi nyingine za africa. Makampuni ya nje yanayokuja kuwekeza Africa wanakuja na chemical engineers wao kutoka kwenye factories zao nyingine kutokana na uzoefu.

Kwa hiyo ni very hard to secure an employement.
 
Kwa Mtazamo na kufanya kazi kwa miaka kazaa Ningekushauri Civil. Pamoja siyo miongoni mwa machaguo yako uliyo pendekeza hapo juu.

Ukifanikiwa kusajiriwa(kampuni) na CRB mambo ni mazuri sn. Kila kukicha kuna miradi ya ujenzi inafanyika ktk Wizara. Mikoa na Halmashauri

Hata kama ni Ngumu we pambana tu mpaka kieleweke
 
a boy mechanical or computer engineering,a girl computer engineering.but gas na mafuta yamegunduliwa..........................some engineering goes with gas na mafuta
 
I would advise you to do Software engineer if you want to enjoy life in Tanzania. Lots of opportunities on the ground and IT is booming at the minute. Goodluck
 
Asante,
Unaweza kutoa maelezo zaidi kwenye kujiari?

kujiajiri ni simple kwan haihitaj kua na mtaj mkubw san,mfano mzur ni maintenance ambazo unaeza kuzifanya kuanzia katik makaz ya watu mpka office kubwa..
Pia ni rahis kua umeajiriwa na uku ukawa unapiga kaz zengne za nje!
 
Very interesting thread and well presented.

Lakini nitakuwa msomaji wa maoni ya waelewa wa hizo fields.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…