Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Duuu unavyongea lazima kuna kitu hakiko sawa mahali fulani.
Kitu gani mzee?
Unataka tuongee unavyotaka wewe?
Au unatakaje hasa?
Kufikiri hivyo kwa mtazamao wako binafsi ni sawa haina tatizo!