While KQ is at economical Depression ATCL set to receive brand new 2nd B787-8


Yeah sure

Pia watoto wa Kenya wanaongoza kwa kufa kwa njaa kushinda watoto wengine wote katika EAC....

Vilevile wananchi wa Kenya Ndio wananchi pekee ambao hawamiliki uchumi wao na wamegeuzwa slaves on their own land comparing to other E.A countries
 
Si dini kakangu ,ni uwepo wa Mungu .Alikuwepo kabla hizo dini zianzishwe na wanadamu,yeye hana dini

Ndio kakutuma utukane watu "fools"?

Huyo Mungu ni hovyo sana na amejaa visasi na anatuma minions wake wa-fight on his behalf!

He is so weak to send in a weak human being to fight for him!

Leo Mkikuyu unakana dini?

Leo unajifanya wewe si mkristo?

Unajiekti so reasonable unasema unaamini "uwepo" wa mungu tu,wakati wewe ni Mkristo wa kutupa!

Hii hypocrisy Jeni umeipeleka next level!

Lakini ndio kawaida yenu wapenda Mungu,unafiki kwenu ni sifa muhimu!

Hahahhaa
 
Lol.. I am a Christian but I am not a religious extremist. Siwezi fosi MTU kukubali dini ya kikristo kama vile alshabaab hufanya.
Mimi huona ukristo ndio dini ya ukweli ukilinganisha na hizi zingine reason huzungumzia upendo through out. Hata uwe na nini na hauna upendo then you're nothing. GOD IS LOVE.
 
Religion is the great lie and delusion. But I do respect the feeling of hope and safety it provides
 

Christian religion ni bora,kuliko dini zipi?

Umeangalia dini zote duniani to establish your judgement?

Kuna dini milioni 3,umepitia zote?

Jibu ni kwamba,hujapitia!

Sasa hiyo judgement kua ndio dini bora umeitolea wapi?

God is love,kwahiyo una upendo sana?

Mwenye upendo ndio anatukana watu "fools"?

Watu wa dini ni hypocrites!
 
Kwa hivyo kuitwa 'fool' ni kutukanwa?
 
Hakuna biashara isiyo na faida na hasara.... lkn kumbuka iyo ndege kuwa nayo tu ni ASSET tosha
Asset mheshimiwa, inategemea kwenye vitabu vya nani.... Ndege zote ATCL inazotoa sio asset zake, ni mali ya serikali..Serikali inaweza kusema ina asset..Hata kama ATCL ni 100% govt entity, lakini hawana mtaji wao kwenye ndege.

Kulielewa hilo vizuri ni kama mtoto anayestruggle mwenyewe akafungua biashara na mtoto wa tajiri anayetegemea asset za familia, halafu kuwalinganisha..
 
ni vyema we labda unavyofikiria kwa nn TGFA ndio wananunua ndege ? ATCL kama ATCL inajulikana ina mideni ss wao leo hii wajifanye kipaumbele kununua ndege wadeni wote watajitokeza dunia nzima ....na matokeo yake yatakuwa majanga ss kama ATCL ni shirika la UMMA na TGFA ni serikali yaani ni sawa na kutoa pesa kutoka mfuko wa kushoto na kuweka ktk mfuko wa kulia wa suruali yako lkn bado izo pesa zitakuwa ndani ya suruali yako
 
Kwa hivyo kuitwa 'fool' ni kutukanwa?

Kwa maana "Fool" ni pambio?

Haya sasa,tumegeuka kusingizia semantics za lugha sasa?

Wewe Mkikuyu siku unakuja Bongo lazima nikutafute nikuchape na kidudu changu!

Utajijua!Lazima vidudu vyetu visalimiane!
 

Tanzania Government Flight Agency sio wanaonunua ndege... Ndege zinanunuliwa toka hela au sources za serikali kuu- central government. Ndio maana watu wanapata shida hapa.. Hata ukiona TRC ni hela ya serikali kuu, inafanya kama mradi wake.. Ukitaka kufanya comparison, fanya kati ya serikali na serikali.... Kwa Kenya, KQ wana autonomy katika kuendesha na kuamua revenue stream zao na wanazo. Lakini kwa kwetu , kuna utaratibu fulani...Tanzania Government Flight Agency, kama msimamizi wa ndege.. Wao wamewakodisha ATCL.... TGFA wanasimamia mali ya central government... Kwa hiyo ATCL, asset zake ni kama routes walizonazo, real estate kama wanazo. Lakini ndege siyo asset zao...
 
Issue si kupata ndege ingekuwa hivyo basi KQ wangekuwa bora zaidi maana wana ndege nyingi kuliko sisi. Issue ni kuendesha airline kwa faida. KQ wanapita kipindi kigumu kwa kuwa shirika linapata hasara ile mbaya. Uzuri kwa upande wao ni kwamba wanachapisha taarifa zao za fedha. He ATCL ina uwazi huo? Hakuna. Ili watu wasihoji masuala ya kifedha, shirika limewekwa katika kile kitengo chini ya ofisi ya Rais. By the time mnastuka shirika litakuwa 6 feet under the ground. Hatuombei hivyo lakini masuala haya yanahitaji transparency
This picture was taken at Boeing Everret factory TODAY actually the flight named as RUBONDO island found in MWANZA
View attachment 1232046
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…