denial katika ubora wakeUshahidi huwa haundolewi, hata ukitaka tukuletee ushahidi wa miaka hamsini unapatikana, hata wakati walipofungua uzi, tuliomba ushahidi hatukupewa, maneno yalikua haya haya unayosema leo
1)Uhuru wa kutuoa habari umebanwa
2)Always on denial.
Tafadhali sana tunaomba ushahidi, kama huna Sio dhambi kukiri kwamba ni kawaida yenu kupika data na taarifa mbalimbali ili kulipa matumaini na sifa za kijinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kila mjadala lazima uhakikishe kwamba umeibuka mshindi hata kama itakulazimu kushirikisha matusi. Haya bwa.mdogo. Nenda kawashughulikie dada zenu wasiugue saratani.Tatizo ni mfumo wenu wa Elimu, Badala ya kuwapa Elimu, umewapa kiingereza, Ukabila na rushwa, unashindwa kutofautisha Kati ya tatizo la kitaifa na individual problem, sikulaumu nyanyangu nisamehe Sana. Ile safari yetu ya Zanzibar vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
janeroze...mbna umempiga za uso kw haraka hvo...si unajua yuko kw denial...ungelimuacha kwanza......LDC Tanzania is busy enjoying faeces
tumia akili...umeambia waturkana ni wafugaji wa msituni..na kwao ni jangwa...inahusiana aje na nchi kuwa na njaa....bwahahaaaaTumia akili Wewe, umeambiwa wazazi wao ni wagonjwa hawawezi kufanya kazi ili kujipatia kipato, sasa hiyo ina uhusiano gani na nchi kuwa na njaa?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha jito la jiwe ni mbishi sana. Hats hii anabisha na ni media ya tz.janeroze...mbna umempiga za uso kw haraka hvo...si unajua yuko kw denial...ungelimuacha kwanza
janeroze...ameruka kw kingereza,ukabila na rushwa...hahaaaaaa...Tatizo ni mfumo wenu wa Elimu, Badala ya kuwapa Elimu, umewapa kiingereza, Ukabila na rushwa, unashindwa kutofautisha Kati ya tatizo la kitaifa na individual problem, sikulaumu nyanyangu nisamehe Sana. Ile safari yetu ya Zanzibar vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
nadhani kuna mishipa haija kaa sawa...umepiga za uso...kabadilisha gear...duh...Hahaha jito la jiwe ni mbishi sana. Hats hii anabisha na ni media ya tz.
Hizi nyumba za tope ndizo Mgagaa na Upwa huwa anajigamba nazo?
I support you!Hapa nashangaa watu mnaleta utani kwenye mambo ya msingi kabisa kwa binadamu kuishi! Kama serikali ya Kenya inachakula ipeleke haraka chakula , maji na madawa haraka bila kupepesa macho. Kama majirani wamegiswa wachangie basi. Mbona Uhuru alileta mzigo kule Kagera.
Njaa haina ujuaji !
Harusi ni lini?Kwa kila mjadala lazima uhakikishe kwamba umeibuka mshindi hata kama itakulazimu kushirikisha matusi. Haya bwa.mdogo. Nenda kawashughulikie dada zenu wasiugue saratani.
Safari ya Zanzibar haipo. Pengine nije honeymoon nikifanya harusi
Tunazungumzia tofauti Kati ya public problem na individual problem, kuna watu wengi sana au familia nyingi sana hapa duniani zinashida mbalimbali, hiyo haimaanishi ni tatizo la kitaifa. Marekani kuna watu wengi tu ni homeless na wengine wanalala njaa, lakini Marekani haijawahi kukumbwa na njaa.janeroze...ameruka kw kingereza,ukabila na rushwa...hahaaaaaa...
mbna wale mafi..na wakati serikali yenu ikisikia kuna watu wanalala njaa hailali...si maghala ya chakula mbna ni mengi...si mjumbe angeliwakaribisha angalau kwake ama apige simu chakula kije haraka kutoka kw hzo ghala zenu ..
Likewise, turkana kukumbwa na njaa haimaanishi Kenya yote ina njaaTunazungumzia tofauti Kati ya public problem na individual problem, kuna watu wengi sana au familia nyingi sana hapa duniani zinashida mbalimbali, hiyo haimaanishi ni tatizo la kitaifa. Marekani kuna watu wengi tu ni homeless na wengine wanalala njaa, lakini Marekani haijawahi kukumbwa na njaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama rais wao hataki kutambua uwepo wao na kuomba msaada. Serikali za Tz na Ug haziwezi ingilia, itaonekana wanasupport oppositions.iv ktk EAC hamna namna ya nchi moja kuisaidia nchi jirani msaada wa mahindi ? nimesikia Kenya count zaidi ya 12 zinasumbuliwa na baa la njaa nafikiri ingekuwa vyema kama nchi zingine zinge saidia nchi ya Kenya mfano UGANDA,itoe chakula kidogo, TZ nayo pia itoe mahindi kidogo ili maisha ya wanajumuiya wasipate shida
Tatizo Sio Wewe, mfumo wenu wa Elimu umezingatia zaidi kufundisha English language, tribalism, corruption, and impunity. Njaa Kenya ni tatizo la kitaifa na serikali imeshatangaza ukame na njaa kuwa ni janga la Taifa.Likewise, turkana kukumbwa na njaa haimaanishi Kenya yote ina njaa
Hahaha unaji contradict bana. Kama ulivyosema kwamba tatizo likitokea kwa watu wachache ndani ya nchi haimaanishi kwamba ni nchi nzima na ukatoa mfano wa USA na Tanzania.Tatizo Sio Wewe, mfumo wenu wa Elimu umezingatia zaidi kufundisha English language, tribalism, corruption, and impunity. Njaa Kenya ni tatizo la kitaifa na serikali imeshatangaza ukame na njaa kuwa ni janga la Taifa.
Sasa kwasababu hiyo familia moja ina matatizo unataka Tanzania tutangaze kwamba ni janga la Taifa?, hata kijiji inapoishi hiyo familia hakiwezi kutangaza kwamba hilo ni janga la kijiji, it is a single family problem.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msikilize Rutto Jana akiwa anaelezea maeneo ya Kenya yaliyokumbwa na njaa, amesema Wakenya 1.1M wanakabiliwa na njaa, serikali ya Kenya imeshatangaza zaidi ya Kshs 20B kwa ajili ya kununua chakula na kukipeleka haraka katika maeneo hayo, je Bado unabisha Sio tatizo la kitaifa?Hahaha unaji contradict bana. Kama ulivyosema kwamba tatizo likitokea kwa watu wachache ndani ya nchi haimaanishi kwamba ni nchi nzima na ukatoa mfano wa USA na Tanzania.
Kwa jinsi unavyochukia Kenya lazima ungejumuisha wananchi wote. Kando na turkana na baringo, wapi kwingine watu wamekufa njaa??
njaa ni njaa tu...naona sasa umeanza kukubali kama tanzania kuna watu wanalala njaa hku serikali ikitoa vyakula bure malawiTunazungumzia tofauti Kati ya public problem na individual problem, kuna watu wengi sana au familia nyingi sana hapa duniani zinashida mbalimbali, hiyo haimaanishi ni tatizo la kitaifa. Marekani kuna watu wengi tu ni homeless na wengine wanalala njaa, lakini Marekani haijawahi kukumbwa na njaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msikilize Rutto Jana akiwa anaelezea maeneo ya Kenya yaliyokumbwa na njaa, amesema Wakenya 1.1M wanakabiliwa na njaa, serikali ya Kenya imeshatangaza zaidi ya Kshs 20B kwa ajili ya kununua chakula na kukipeleka haraka katika maeneo hayo, je Bado unabisha Sio tatizo la kitaifa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Usihofu tutawapelekea tuu ngoja tumalizane na Ndugu wa damu down south afu tutakuja kwa hawa jaama maana hatutawaacha ka serikali yao ilivyowaachaHapa nashangaa watu mnaleta utani kwenye mambo ya msingi kabisa kwa binadamu kuishi! Kama serikali ya Kenya inachakula ipeleke haraka chakula , maji na madawa haraka bila kupepesa macho. Kama majirani wamegiswa wachangie basi. Mbona Uhuru alileta mzigo kule Kagera.
Njaa haina ujuaji !
Hahahahahah, that's why Kenya is a failed statembna picha za hao watu milion moja sizioni ....kila siku naona turkana.. hapo tayari tumeshapigwa hzo hela...
wakenya 20 billion hyo ..eti walist county kumi ambazo ziko na maeneo kidogo tu anbayo kuna ukame ..alafu watu wanaoishi hayo maeneo wengi wao ni wakulima na wanaakiba angalau ya kujitosheleza kw ma siku...
hapo tumeshapigwa tu tayari
magu aliwapa kilo ngapi za mahindi hao watoto...au hzo taarifa ni propaganda akazipuuza...au kadhani hao ni wapiga dili...Haha, wenzako wanakufa huko, Wewe unazungumzia mavi, huko Turkana hata mavi hawana, ukiwapelekea mavi Saa hii wanakula haraka sana.
Sent using Jamii Forums mobile app