komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
denial katika ubora wakeUshahidi huwa haundolewi, hata ukitaka tukuletee ushahidi wa miaka hamsini unapatikana, hata wakati walipofungua uzi, tuliomba ushahidi hatukupewa, maneno yalikua haya haya unayosema leo
1)Uhuru wa kutuoa habari umebanwa
2)Always on denial.
Tafadhali sana tunaomba ushahidi, kama huna Sio dhambi kukiri kwamba ni kawaida yenu kupika data na taarifa mbalimbali ili kulipa matumaini na sifa za kijinga
Sent using Jamii Forums mobile app