While middle income Kenya is starving of hunger...

Ushahidi huwa haundolewi, hata ukitaka tukuletee ushahidi wa miaka hamsini unapatikana, hata wakati walipofungua uzi, tuliomba ushahidi hatukupewa, maneno yalikua haya haya unayosema leo
1)Uhuru wa kutuoa habari umebanwa
2)Always on denial.
Tafadhali sana tunaomba ushahidi, kama huna Sio dhambi kukiri kwamba ni kawaida yenu kupika data na taarifa mbalimbali ili kulipa matumaini na sifa za kijinga

Sent using Jamii Forums mobile app
denial katika ubora wake
 
Tatizo ni mfumo wenu wa Elimu, Badala ya kuwapa Elimu, umewapa kiingereza, Ukabila na rushwa, unashindwa kutofautisha Kati ya tatizo la kitaifa na individual problem, sikulaumu nyanyangu nisamehe Sana. Ile safari yetu ya Zanzibar vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kila mjadala lazima uhakikishe kwamba umeibuka mshindi hata kama itakulazimu kushirikisha matusi. Haya bwa.mdogo. Nenda kawashughulikie dada zenu wasiugue saratani.
Safari ya Zanzibar haipo. Pengine nije honeymoon nikifanya harusi
 
Tatizo ni mfumo wenu wa Elimu, Badala ya kuwapa Elimu, umewapa kiingereza, Ukabila na rushwa, unashindwa kutofautisha Kati ya tatizo la kitaifa na individual problem, sikulaumu nyanyangu nisamehe Sana. Ile safari yetu ya Zanzibar vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
janeroze...ameruka kw kingereza,ukabila na rushwa...hahaaaaaa...

mbna wale mafi..na wakati serikali yenu ikisikia kuna watu wanalala njaa hailali...si maghala ya chakula mbna ni mengi...si mjumbe angeliwakaribisha angalau kwake ama apige simu chakula kije haraka kutoka kw hzo ghala zenu ..
 
Hahaha jito la jiwe ni mbishi sana. Hats hii anabisha na ni media ya tz.
Hizi nyumba za tope ndizo Mgagaa na Upwa huwa anajigamba nazo?
nadhani kuna mishipa haija kaa sawa...umepiga za uso...kabadilisha gear...duh...

kutoka jana ana zurura kwenye hzi thread za turkana tu...najua anaomba idadi ya vivo iongezeke afungue thread nyengine
 
Hapa nashangaa watu mnaleta utani kwenye mambo ya msingi kabisa kwa binadamu kuishi! Kama serikali ya Kenya inachakula ipeleke haraka chakula , maji na madawa haraka bila kupepesa macho. Kama majirani wamegiswa wachangie basi. Mbona Uhuru alileta mzigo kule Kagera.

Njaa haina ujuaji !
I support you!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
janeroze...ameruka kw kingereza,ukabila na rushwa...hahaaaaaa...

mbna wale mafi..na wakati serikali yenu ikisikia kuna watu wanalala njaa hailali...si maghala ya chakula mbna ni mengi...si mjumbe angeliwakaribisha angalau kwake ama apige simu chakula kije haraka kutoka kw hzo ghala zenu ..
Tunazungumzia tofauti Kati ya public problem na individual problem, kuna watu wengi sana au familia nyingi sana hapa duniani zinashida mbalimbali, hiyo haimaanishi ni tatizo la kitaifa. Marekani kuna watu wengi tu ni homeless na wengine wanalala njaa, lakini Marekani haijawahi kukumbwa na njaa.

Likewise, turkana kukumbwa na njaa haimaanishi Kenya yote ina njaa
 
iv ktk EAC hamna namna ya nchi moja kuisaidia nchi jirani msaada wa mahindi ? nimesikia Kenya count zaidi ya 12 zinasumbuliwa na baa la njaa nafikiri ingekuwa vyema kama nchi zingine zinge saidia nchi ya Kenya mfano UGANDA,itoe chakula kidogo, TZ nayo pia itoe mahindi kidogo ili maisha ya wanajumuiya wasipate shida
Sasa kama rais wao hataki kutambua uwepo wao na kuomba msaada. Serikali za Tz na Ug haziwezi ingilia, itaonekana wanasupport oppositions.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Likewise, turkana kukumbwa na njaa haimaanishi Kenya yote ina njaa
Tatizo Sio Wewe, mfumo wenu wa Elimu umezingatia zaidi kufundisha English language, tribalism, corruption, and impunity. Njaa Kenya ni tatizo la kitaifa na serikali imeshatangaza ukame na njaa kuwa ni janga la Taifa.

Sasa kwasababu hiyo familia moja ina matatizo unataka Tanzania tutangaze kwamba ni janga la Taifa?, hata kijiji inapoishi hiyo familia hakiwezi kutangaza kwamba hilo ni janga la kijiji, it is a single family problem.

Hahaha unaji contradict bana. Kama ulivyosema kwamba tatizo likitokea kwa watu wachache ndani ya nchi haimaanishi kwamba ni nchi nzima na ukatoa mfano wa USA na Tanzania.

Kwa jinsi unavyochukia Kenya lazima ungejumuisha wananchi wote. Kando na turkana na baringo, wapi kwingine watu wamekufa njaa??
 
Msikilize Rutto Jana akiwa anaelezea maeneo ya Kenya yaliyokumbwa na njaa, amesema Wakenya 1.1M wanakabiliwa na njaa, serikali ya Kenya imeshatangaza zaidi ya Kshs 20B kwa ajili ya kununua chakula na kukipeleka haraka katika maeneo hayo, je Bado unabisha Sio tatizo la kitaifa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunazungumzia tofauti Kati ya public problem na individual problem, kuna watu wengi sana au familia nyingi sana hapa duniani zinashida mbalimbali, hiyo haimaanishi ni tatizo la kitaifa. Marekani kuna watu wengi tu ni homeless na wengine wanalala njaa, lakini Marekani haijawahi kukumbwa na njaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
njaa ni njaa tu...naona sasa umeanza kukubali kama tanzania kuna watu wanalala njaa hku serikali ikitoa vyakula bure malawi
 
Msikilize Rutto Jana akiwa anaelezea maeneo ya Kenya yaliyokumbwa na njaa, amesema Wakenya 1.1M wanakabiliwa na njaa, serikali ya Kenya imeshatangaza zaidi ya Kshs 20B kwa ajili ya kununua chakula na kukipeleka haraka katika maeneo hayo, je Bado unabisha Sio tatizo la kitaifa?

Sent using Jamii Forums mobile app

mbna picha za hao watu milion moja sizioni ....kila siku naona turkana.. hapo tayari tumeshapigwa hzo hela...

wakenya 20 billion hyo ..eti walist county kumi ambazo ziko na maeneo kidogo tu anbayo kuna ukame ..alafu watu wanaoishi hayo maeneo wengi wao ni wakulima na wanaakiba angalau ya kujitosheleza kw ma siku...
hapo tumeshapigwa tu tayari
 
Hapa nashangaa watu mnaleta utani kwenye mambo ya msingi kabisa kwa binadamu kuishi! Kama serikali ya Kenya inachakula ipeleke haraka chakula , maji na madawa haraka bila kupepesa macho. Kama majirani wamegiswa wachangie basi. Mbona Uhuru alileta mzigo kule Kagera.

Njaa haina ujuaji !
Usihofu tutawapelekea tuu ngoja tumalizane na Ndugu wa damu down south afu tutakuja kwa hawa jaama maana hatutawaacha ka serikali yao ilivyowaacha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbna picha za hao watu milion moja sizioni ....kila siku naona turkana.. hapo tayari tumeshapigwa hzo hela...

wakenya 20 billion hyo ..eti walist county kumi ambazo ziko na maeneo kidogo tu anbayo kuna ukame ..alafu watu wanaoishi hayo maeneo wengi wao ni wakulima na wanaakiba angalau ya kujitosheleza kw ma siku...
hapo tumeshapigwa tu tayari
Hahahahahah, that's why Kenya is a failed state

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha, wenzako wanakufa huko, Wewe unazungumzia mavi, huko Turkana hata mavi hawana, ukiwapelekea mavi Saa hii wanakula haraka sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
magu aliwapa kilo ngapi za mahindi hao watoto...au hzo taarifa ni propaganda akazipuuza...au kadhani hao ni wapiga dili...

yani katoa msaada nje kwake anawaambia watu wakalime...bwahaaaaa
 
Back
Top Bottom