While total FDI in Kenya is $700mln after 60% drop, Tanzania is $3.3 bln after 7% drop

GDP na vyanzo vya mapato in whole Tanzania can't finance your budget which is slightly less than half ours!., out revenue collection is bigger than your total budget!! Facts!!! mko chini sana!!!!
Sisi tunaweka juhudi Latina kukuza uchumi, kupambana na corruption, kupunguza expenditure na kupunguza kukopa, Kenya mnafanya Just opposite,mnaongeza matumizi ya serikali na kukopa zaidi. Endeleeni tu mtaona mwisho wake.
 
Ask those investors who decided to invest their money five times more than what the do for Kenya, you don't have muscles to fight against Tanzania, from tourism, manufacturing, agriculture, FDI...........
 
Matumizi ya serikali ni matumizi ya nchi. Barabara, hospitali, mashule, stima nk.
 
Tushaestablish hizo ni mashine mbili za migodi na gesi. Otherwise kwanini hio FDI imetranslate into 22,000 jobs, ilhali FDI ya Kenya imetranslate into 20,000 jobs.
Ilhali tunajua kwamba mishahara ya Kenya iko juu.
 
I doubt it my friend
 
Matumizi ya serikali ni matumizi ya nchi. Barabara, hospitali, mashule, stima nk.
Ujinga huu, how can plan to spend more than what you have based on justification kwamba ni matumizi ya Serilali?. Tanzania inajenga Mira's mikubwa Sana miwili, SGR and hydropower dam Kwa pesa yake pamoja na kuwa na bajeti ndogo, ninyi pamoja na bajeti kubwa mumeshindwa kujenga hata kilometer moja 52% mnalipa mishahara kwa wafanyakazi serikali ambao ni 2% ya wakenya wote, 30% inapotea kwenye corruption, only 18% remains for mwananchi.
 
Ahaaa haaa haaa
Kama Tanzania shamba la bibi, Kenya itakuwa NINI!!??
Kina LORD Dalamare wanainyonya NCHI wakisaidiwa na familia za kina Kenyatta.
 
Correction: Kenyan businessmen are expanding to Tanzania.
Before Tanzanian businessmen think of expanding anywhere, Kenyans will have reached Botswana.
wafanyabiashara wenu wana expand tanzania kwasababu wamegundua tz kuna amani, ardhi ya kutosha, mazingira rafiki ya kufanya biashara, sera makini kwa wawekezaji wanaotoka nje ya nchi.
 
wafanyabiashara wenu wana expand tanzania kwasababu wamegundua tz kuna amani, ardhi ya kutosha, mazingira rafiki ya kufanya biashara, sera makini kwa wawekezaji wanaotoka nje ya nchi.

Wanaexpand Tanzania kwa sababu wanatafuta pesa zaidi. If Ethiopia was open, Tanzania would be very low on our radar.
Same case, if Tanzania and Ghana switched geographical locations, hio amani na ardhi yenu haingemsaidia kupata investors kutoka Kenya. We're just forced by circumstances because you're our neighbours.
 
You are describing a budget deficit.
Nchi mingi kuanzia bongolala hadi USA huwa na budget deficit kila mwaka. In short most countries plan to spend more than they have.
 
ofcos but hawawezi kwenda kutafuta pesa zaidi kwenye nchi ambayo ni unstable politically. ndio maana kenya businessmen hawatii mguu somalia.wanakuja tanzania.
Hapo nakubaliana na wewe kabisaaaa!. Bali kwa hatua hiyo haimaanishi wanagura Kenya, ila wanatanua matawi yao ya kipato.
 
ofcos but hawawezi kwenda kutafuta pesa zaidi kwenye nchi ambayo ni unstable politically. ndio maana kenya businessmen hawatii mguu somalia.wanakuja tanzania.

Kenyan businessmen wametapakaa kila mahali. Ata in the politically unstable South Sudan, Kenyan businessmen have been moving in droves.
Actually its much easier for a Kenyan to do business in South Sudan than in Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…