While total FDI in Kenya is $700mln after 60% drop, Tanzania is $3.3 bln after 7% drop

Geza hio FDI imewasaidia na nini? Bado mnagrow at 7% na hio uchumi yenu ndogo na Kenya with it's oversize gdp inagrow at 5.7%. So difference iko wapi, bado tunawanyorosha kwenye gdp.
 
But a big portion of the Tzian fdi is from Kenya, just sayin....

tanzania-foreign-direct-investment-fdi-2015.gif
Mention hizo Kenyan companies! Leo hii Safaricom na EA Brew wako Ethiopia unaweza ku-claim Kenya as a leading investor in Ethiopia? Wacheni ukunya!
 
Kwa hivyo unajaribu kusema Kenya hakuna wealth yoyote? Kwa hivyo hio gdp ya Kenya ni fake kulingana na wewe?
 
Mention those Kenyan companies!I know of British companies registered/incorporated in Kenya coming to invest in Tanzania. There is no way with Kenyan owned owned companies, Kenya as a country can make it top 5. Do ur research properly n come back.
 
But a big portion of the Tzian fdi is from Kenya, just sayin....

tanzania-foreign-direct-investment-fdi-2015.gif
Hizo kampuni za Kenya zinawekeza bongo ukiangalia vizuri siyo za Kenya. Nataka KAMAU Ltd coy ije bongo siyo Unilever, Del monte, palmolive, Jubilee e.t.c.

Ndiyo maana huwaga mnajisifu office ziko Nairobi kumbe uwekezaji mkubwa una fanywa Tz ndiyo maana for the past 7 years FDI ya TZ ni kubwa kuliko Ke. Kuna regulations zimesha anza kua implemented na nyingine zipo kwenye pipeline hii itakoma soon.
 
Mention hizo Kenyan companies! Leo hii Safaricom na EA Brew wako Ethiopia unaweza ku-claim Kenya as a leading investor in Ethiopia? Wacheni ukunya!
I mention them ili iweje? It is the Tanzania Investment Centre (TIC) from where I forked that one out, who have consistently being placing Kenya among the top 4 investors in your country for a coupla years now. Go ask them.
 
Hizo kampuni za Kenya zinawekeza bongo ukiangalia vizuri siyo za Kenya. Nataka KAMAU Ltd coy ije bongo siyo Unilever, Del monte, palmolive, Jubilee e.t.c.

Ndiyo maana huwaga mnajisifu office ziko Nairobi kumbe uwekezaji mkubwa una fanywa Tz ndiyo maana for the past 7 years FDI ya TZ ni kubwa kuliko Ke. Kuna regulations zimesha anza kua implemented na nyingine zipo kwenye pipeline hii itakoma soon.
Kenyan companies, founded by Kenyans, registered in Kenya. Kenyans do not claim Unilever, they claim Bidco.
 
Tumewapiga zaidi ya mara nne! Yaani
TZ FDI= 4.7 × KE FDI=5 × KE FDI
 
Kenyan companies, founded by Kenyans, registered in Kenya. Kenyans do not claim Unilever, they claim Bidco.
Kumbe wewe hujui, nitajihidi niipate hiyo list ni ilete humu au mtu yoyote ambae anaeza ipata aiweke hapa.
 
Kenya si Tanzania ambapo kila kitu ni cha serikali. Safaricom ni Kampuni kubwa iliyo na different shareholders. Ati 'since shares were not yours' hebu jiskize. Hauna AIBU?

Haya hii hapa shareholders wa Safaricom (ambapo vodafone wameuza their shares to Vodacom)

View attachment 827745

Kama Hujui maana ya FDI siku ingine usijiaibishe na kuingiza Kampuni kubwa kabisa east and central africa yote kwenye ujinga wako
nauliza, r foreigners allowed to buy shares at NSE?
Can u bring ownership breakdown Mpesa pia?
 
A reason I ask u to mention them!
wewe wacha POROJO. Umeshawekewa Kenya na Kampuni za kiKenya ni among foreign investors nchi yenu. Sasa mbona yeye azijue hizo kampuni? Zitamsaidia Kivipi? Nyinyi mnaosaidiwa ndio mnapasa kuzijua.

Itabaki for a fact katika hiyo FDI, Kenya pia ina mchango
 
Then be assured Safaricom is owned over 50% by non Kenyans!
I already gave you the shareholding structure of Safaricom.

What you are saying is baseless and even if it was so, it doesn't matter because those are people investing in a KENYAN company.
 
Back
Top Bottom