White house ya nchi ya Mtanila mpaka sasa imetumia 30b. Hadi maji ya kunywa anaagiza US

Juzi hapa amestopisha mzabuni wa maji asilete tena toka US. Sasa kwa boko la jana atatumia ya arabuni au china? Ni suala la muda.

Ndugu zangu wana Mtanila, mnabanangwa kisawasawa na huyu mtawala wenu
Sasa hayo maji ya kutoka kwa watesi yatakuwa salama kweli??
 
Maajii maajii maji ya kisima majii..
9dec..nipo MBEYA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…