[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sasa unamuomba nani anirudishe jaman
Si - hao walio kuvutisha ... team Celine Dion .. comment zao tu zimejaa ulabu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sasa unamuomba nani anirudishe jaman
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh na hiyo ya Michael Jackson ina utata?!Watu wa humu mlisema Michael Jackson ni zaidi ya Bob Marley, kwahiyo siwashangai mkimpa credit Celine Dion mbele ya Vocal Queen
Hahahahah mbona mi siyo team celineSi - hao walio kuvutisha ... team Celine Dion .. comment zao tu zimejaa ulabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Oops! Ngoja nisikilize tena hapo...yule alishushwa aseeKuna sehemu kwenye hiyo I'll be there anasema ... if you should ever find someone new .. I know he better be good to you .course if he doesn't I'll be there.. yaani huwa haipiti siku mimi bila kuimba hiyo line ... naipenda mnoo aise
Imagine line kama hizo aliziimba akiwa mdogo kabisa
Daah Mj he was a magician
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo wa kawaida sana hata kwa Brandy hatoboiNawatizama tu namna mnvyomsahau TONI BRAXTON
Beyonce namba 4..namba 5 Toni Btaxton
Download torrent utapata discography zote...Naombeni link ya kudownload musik za ulaya bila longo longo wajameni, ku download nyimbo sasa hivi ni kazi sana
Whitney ni noma kuja kusahaulika si rahisiCeline ni mkali sawa...
Ila Whitney ni habari nyingine wakuu...
My greatest songs of all time from Whitney
1. I will always love u
2. Same script different cast ft Debora Cox
3. Where Do broken heart goes
4. U give good love
5. All at once
6. I have nothing
7. My love is ur love
8. Exhale(shoop shool)
9. I look to you
10. Try it on my own
11. Heart break hotel ft Faith Evance
12. Step by Step
13. Im every woman
14. Im every woman
15. Run to you
16.If I told u that
17. Greatest love of all
18. I wanna dance with somebody
19. A million dolla Bill
20. Saving all my love for u
Bhasi hizo nyimbo zilikuwa common miaka ya wahengaa mkuu...Celine ni mkali sawa...
Ila Whitney ni habari nyingine wakuu...
My greatest songs of all time from Whitney
1. I will always love u
2. Same script different cast ft Debora Cox
3. Where Do broken heart goes
4. U give good love
5. All at once
6. I have nothing
7. My love is ur love
8. Exhale(shoop shool)
9. I look to you
10. Try it on my own
11. Heart break hotel ft Faith Evance
12. Step by Step
13. Im every woman
14. Im every woman
15. Run to you
16.If I told u that
17. Greatest love of all
18. I wanna dance with somebody
19. A million dolla Bill
20. Saving all my love for u
Ni kweli hiyo 90's Whitney Houston was everywhere!!
I look to you Ni🔥🔥One of my favorite songs from Whitney Houston
1. I'll always love you.
2. I look to you.
3. Greatest love of all.
4. Where do broken heart go.
5. I have nothing.
Sent using Jamii Forums mobile app