Whitney Houston vs Celine Dion nani zaidi?

Whitney Houston vs Celine Dion nani zaidi?

swali zuri

kwenye vocal wako almost sawa

illa attractive vocals na madoido whitney yuko juu. Celine ana vocals nzuri ila hana madoido mengi, kwenye live performance whitney alikuwa na uwezo wa kubadili sauti na nyimbo atakavyo, celine live zake ziko strong ila anabaki original


kwa umaarufu whitney yuko juu label ya Motown walimpaisha na aliuza sana

whitney kacheza na filamu hollywood that makes her juu


Kwenye miaka ya mwanzo kutoka 1985 mpaka 1995 whitney hakuwahi kuwa na mpinzani. Celine dion kaja juu zaidi 1997 baada ya titanic movie

baada ya 1995 whitney ki vocal akashuka kwa madawa, ila celin ka maintain power ile ile kwa miaka 30 sasa! hata leo ukimwambia aimbe celine ataimba kama mwaka 1990
 
Inaonekana kila mtu ana taste yake.
Kwa mimi nimesikiliza nyimbo nyingi za celin za hauston nimesikia chache sana of course lazima nivutie upande wa celin.
 
Kuna sehemu kwenye hiyo I'll be there anasema ... if you should ever find someone new .. I know he better be good to you .course if he doesn't I'll be there.. yaani huwa haipiti siku mimi bila kuimba hiyo line ... naipenda mnoo aise

Imagine line kama hizo aliziimba akiwa mdogo kabisa

Daah Mj he was a magician

Sent using Jamii Forums mobile app
Oops! Ngoja nisikilize tena hapo...yule alishushwa asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Celine ni mkali sawa...

Ila Whitney ni habari nyingine wakuu...

My greatest songs of all time from Whitney

1. I will always love u

2. Same script different cast ft Debora Cox

3. Where Do broken heart goes

4. U give good love

5. All at once

6. I have nothing

7. My love is ur love

8. Exhale(shoop shool)

9. I look to you

10. Try it on my own

11. Heart break hotel ft Faith Evance

12. Step by Step

13. Im every woman

14. Im every woman

15. Run to you

16.If I told u that

17. Greatest love of all

18. I wanna dance with somebody

19. A million dolla Bill

20. Saving all my love for u
 
Celine ni mkali sawa...

Ila Whitney ni habari nyingine wakuu...

My greatest songs of all time from Whitney

1. I will always love u

2. Same script different cast ft Debora Cox

3. Where Do broken heart goes

4. U give good love

5. All at once

6. I have nothing

7. My love is ur love

8. Exhale(shoop shool)

9. I look to you

10. Try it on my own

11. Heart break hotel ft Faith Evance

12. Step by Step

13. Im every woman

14. Im every woman

15. Run to you

16.If I told u that

17. Greatest love of all

18. I wanna dance with somebody

19. A million dolla Bill

20. Saving all my love for u
Whitney ni noma kuja kusahaulika si rahisi
 
Celine ni mkali sawa...

Ila Whitney ni habari nyingine wakuu...

My greatest songs of all time from Whitney

1. I will always love u

2. Same script different cast ft Debora Cox

3. Where Do broken heart goes

4. U give good love

5. All at once

6. I have nothing

7. My love is ur love

8. Exhale(shoop shool)

9. I look to you

10. Try it on my own

11. Heart break hotel ft Faith Evance

12. Step by Step

13. Im every woman

14. Im every woman

15. Run to you

16.If I told u that

17. Greatest love of all

18. I wanna dance with somebody

19. A million dolla Bill

20. Saving all my love for u
Bhasi hizo nyimbo zilikuwa common miaka ya wahengaa mkuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom