Whitney Houston vs Celine Dion nani zaidi?

Huyu Whitney alibarikiwa sauti tamu Sana.
 
Whitney alikuwa mtamu aisee! Kuanzia sauti, nyimbo mpaka.........
 
Loovee doesnt ask why... Aiseee CELINE MKALIIII

Sent using Jamii Forums mobile app
acha kabisa.love doesn't ask why,it's speak from the heart,and never explain.love doesn't think twice,it's can come all at once,all a whisper from a distance.......................acha mzee baba, humu celine kanichambulia maloveee kama yote
 
Habari wadau,kama ww ni mfuatiliaji wa muziki bila shaka utakuwa unawajua wanamuziki hawa.Je kwa mtazamo wako nani ana kipaji kuliko mwenzake?mimi kwa mtazamo wangu naonal Whitney houston ana kipaji kikubwa kuliko Celine Dion,wewe je unaonaje?
Both have unique voices ... Kuna vitu Whitney Houston anaweza kufanya na sauti yake lakini Celine Dion hawezi same goes na Celine Dion kufanya vitu na sauti yake Whitney Houston hawezi ... Whitney's voice is stronger than Celine hivyo hivyo Celine anaweza ku belt nyimbo kumpita Whitney ... Both artist are on there own league also ni icons duniani together with Mariah Carey, wanaitwa Vocal Trinity ... Conclusion, both are better on there own rights as well as genre ... Whitney in Rnb and Celine in Ballads.
 
Habari wadau,kama ww ni mfuatiliaji wa muziki bila shaka utakuwa unawajua wanamuziki hawa.Je kwa mtazamo wako nani ana kipaji kuliko mwenzake?mimi kwa mtazamo wangu naonal Whitney houston ana kipaji kikubwa kuliko Celine Dion,wewe je unaonaje?
Wotee ila nimajina ndo tofauti
 
Waache utani.

Hata mtoto wa 2010 si ajabu hamfahamu Whitney Houston lakini anamjua Celine Dion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…